Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
Baada ya mahakama ya Arusha kumvua ubunge aliyekuwa mbunge wa Arusha mh Lema, pia mahakama imemwambia sheria inamruhusu kugombea tena bila kipingamizi na ametakiwa kulipa gharama zote za kesi iliyoendeshwa, na LEMA kakubali hukumu na kufurahi kuwa mahakama imemruhusu kugombea na kasema atalipa hizo gharama za kesi.

SOURCE: WANDISHI WA HABARI WA MAGIC FM WALIOKUWA MAHAKAMANI ARUSHA.
 
kwanini amevuliwa jamani hii kesi ilikua inahusiana na nini?
 
ccm wamekwisha .. sasa ni mahakama tuuu ndo mkombozi wao wanayemtegemeaa.. lakini tutawapiga chiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
CCM wanajisumbua tu hawna chao Arusha.
 

He he he heeee yule mkurugenzi wa arusha na Lema aliyekuwa anamtukana sasa ndio msimamizi wa uchaguzi kazi ipo sijui kama atatoka
 
Lama anaongea Live redioni, anasema kuwa hajastushwa na kuondolewa Ubunge maana ni mipango iliyowekwa toka zamani.
 

Sheria zinasemaje? ataruhusiwa kugombea tena?
 
Nadhani ni kosa la rushwa tu ndo mtu haruhusiwi kugombea tena..hapa ni kujipanga tu kurudisha jimbo letu
 
Arusha itarudi kwenye mikono ya haki baada ya jaji wa mahakama kupoteza weledi wake kwa mshiko.

Hakuna kulala tunarudi A town kuchukua jimbo.

Relax Lema mjengoni utarudi ulipelekwa na wana A town na wala si mahakama na hao hao watakurudisha tena mjengoni.

Pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
wameamua kufanya hivyo mwisho wa siku bado jimbo litabaki kwa CDM hizi ni njama za mafisadi tu.
 
Ninachoamini ni kwamba wanazidi kuipatia popularity Cadema ili ichukua na majimbo mengi zaidi
 
Policcm imechemka,sasa wamekuja na mahakamaccm,ni ghafla sana lakini itasaidie kuimarisha cdm kwa kampeni,kampeni zikaanza itakuwa ni moja ya mipangilio ya m4c.
 
NAIPENDA CCM INAVYOAMUA KUJIUA YENYEWE HII NI ISHARA YA KUWA WAO NA PESA NA MADARAKA YAO SISI NA MUNGU WETU MPAKA MWISHO HUU NI UPEPO WA KISULI SULI NA KWA NAMNA YOYOTE CCM WANAENDELEA KUJIUA MAANA UCHAGUZI UKIRUDIWA HATA KAMA ITAKUWA LINI NI LAZIMA CDM ITASHINDA KWA KISHINDO KULIKO ARUMERU NA HAPO NDIO CCM ITAKUFA NA KUENDELEA KUJICHIMBIA KABURI NA KUPOTEA KABISA

""WAO WANA PESA SISI TuNAE MUNGU""
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…