Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

Hebu fafanua kidogo kwenye HPV pia iko kwenye kampeni sana.
HPV iko kwenye kampeni sana kwasababu ni suala ambalo linawaingizia pesa nyingi sana wenye viwanda vya madawa,pia ni moja njia wanayotumia kudhoofisha afya zetu kupitia chanjo wanazotoa,kwa kua moja ya lengo lao ni kudhoofisha afya zetu ili waweze kutimiza malengo yao ya baadaye kwa urahisi.

Uongo kuhusu uwepo wa HIV umezaa ARVs ambazo zinakuja kuzaa magonjwa mengi sana ikiwemo cancer ya kizazi kwa wanawake(ambapo sasa ndio HPV anasingiziwa kusababisha),kwa hiyo,HPV anapata BACKUP kutoka kwa ARVs kwa case hii(pia njia za kisasa za uzaziwa mpango na lifestyle mbovu kwa case nyingine).

NB:
Kuna NGOs kubwa zinazojishughulisha na masuala ya HIV/AIDS nchini,fuatilia utaona ndani yake wameweka kitengo cha cancer ya kizazi kwa wanawake,unafikiri hii ni coincidence?LA HASHA,ukiwauliza watakudanganya tu,lakini sababu halisi ni kwamba ARVs wanazotumia ndio husababisha hilo.
 
Sky Eclat na Mwizi Lema huyu hapa mliyemuua kwa corona- acheni uzushi
 

Attachments

  • 05CF66FF-E6CE-40EE-AB46-195DA89693D9.png
    05CF66FF-E6CE-40EE-AB46-195DA89693D9.png
    247.3 KB · Views: 2
Hizi habari zinazagaa balaa mitaani kuwa bibi kafa, Mara mamvi afu watu hapana hata smart phone sielewi nani anawapa habari
 
Tangu Lin Mwafrica akamzidi Mzungu ? Hyo ipo verified kabisa kwamba Africa ni underdog Kwa Wazungu , 🚶🚶🚶 ni vema tunapokabiliana na hawa watu tujue namna vyema ya Kula nao sahani moja maana ushindi kwetu ni minimal .......

Pote Tu Mwafrica alipoinuka kwenda direct against na hawa watu Mtu mweusi ndo aliishia kuumia ....

Wote akina Kijenkitile ngwale, Mkwawa , Martin Luther , Muamar Ghadafi, Mghabe na wanaharakat wote waliishia kuangukia Pua ......

Inahtaj smartness ya Hali ya juu kukabiliana na hawa watu......

Tutajidai kusema napigania Taifa huku hakuna tunachopata , mnaambulia Vifo na maisha magumu ...!!

JPM alikuwa na nia dhabiti na Taifa , Ila mikakati yake ilighubikwa na ukurupukaji mwingi, kukosa hekima na busara , uropokaji usio na tija , kukosa hekima ya kukabiliana na wanaokupinga na utumiaji wa nguvu wa wazi wazi ....na hiki ndo kimemwangusha ......
Hakika huu ndio ukweli usiopingika
 
Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo:

Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
Anataka ajue alipo ehee? Mwambie asimwamshe aliyelala.
 
Sawa ila muache kuwa wazushi hasa wewe na mpuuzi Tundu Lissu bila kusahau Mwizi wa Magari Godbless Lema
Lissu hakuzusha kuwa alipigwa risasi 16 na Ofisi za Lema zilivamiwa kabla ya uchaguzi na yeye kutishiwa maisha.
 
Kipindi hiki cha msimba kitawagharimu sana wapinzani maana Watanzania wanaona kila kinachoendelea, hata kama walikuwa na chuki zao binafsi na Magufuli huu si wakati sahihi wa kuzionesha. Tunapaswa kuungana pamoja kumsitiri mwenzetu then siasa zetu tutaendelea nazo baadae. Chadema mnachofanya sasa kitawagharimu sana 2025 na chaguzi nyingine ndogo zitakazojitokeza.
Naungana na Mrisho Mpoto kumuaga Rais wa awamu ya Tano
Wasilalamike kuibiwa kura wao waache tu!!mi nilikua mpinzani haswaa but for now sipotezi mda tena na wao!
 
Back
Top Bottom