Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

Wasije wakatuulia mama yetu bado mpya aisee!! Hivi TISS mnajielewa kweli? Kwa nini mnamwachia mama Samia anadhurura na huo mwenge bila kuvaa Barakoa? Mtampoteza huyu mama aiseee!!
 
Yupo salaama mikononi mwa Mungu.
Wataka awe salaama mikononi mwa barakoa??
 
"Mgeeni kwetu ameingiaa mgeeni, mgenii hii mgeni huyu Corona!!Amee!!..ameshaleta na mauti chumba cha baba na mama"

Taabu kweli kweli wandugu
 
Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo:

Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
Acha awapukutishe kma wao walivyopukutisha watu,tena
 
Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo:

Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
Chadema kweli mumeishiwa hoja mnaishi kwa majungu tu, mnafurahia ujinga, mbona hamumulizi Mbowe kuwa yuko wapi wakati haonekani kwa muda mrefu? je yey mwenyewe Lema hatujamuona muda mrefu nani anamuuliza yaani Chadema mumekuwa watu wa kuuliza eti mtu fulani yuko wapi ni kila siku mnauliza watu kama si ujinga ni nini sasa, Chadema mumekuwa watu wa kufurahia watu wakiuugua utadhani nyie hataugua au kufa.
 
Amin amin nawaambia, DAMU idiyokuwa na hatia ya Mh Lissu iliyomwagwa kwenye Makao Makuu ya Nchi HAKIKA itawamaliza.

Badala ya kuendeleza kejeli kwa Mh Lissu tafuteni Wazee wenye Hekima wakiwemo Viongozi wa Dini kufanya upatanisho na Mh Lissu. Endeleeni kushupaza shingo zenu na hakika zitavunjika.
 
Nadhani anamuulizia kam wazir mwenye zamana kufatia zile vifo uwanja wa Uhuru sasa anataka kutafuta ili achukue atua isijitokeze Tena Hali hyo ddm
 
Amin amin nawaambia, DAMU idiyokuwa na hatia ya Mh Lissu iliyomwagwa kwenye Makao Makuu ya Nchi HAKIKA itawamaliza.

Badala ya kuendeleza kejeli kwa Mh Lissu tafuteni Wazee wenye Hekima wakiwemo Viongozi wa Dini kufanya upatanisho na Mh Lissu. Endeleeni kushupaza shingo zenu na hakika zitavunjika.
Duh!!!!
 
Back
Top Bottom