Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,751
- 46,270
- Thread starter
- #121
Kukata mzizi wa fitina tuambie basi wewe Lema na Msigwa wamemmiss JK kwa lipi??Nani anapambana na Rais?Kwa hiyo Hotuba ya Mhe.Lema ilikuwa na lengo la kupambana na Mhe. Rais?Bunge sasa hivi ni chombo cha kupambana na Mhe Rais? "Jana nimemsikiliza Lema akichangia bungeni kuwa kammiss Rais Kikwete aliyemaliza muda wake" Umemsikiliza Mhe. Lema alisema hilo kwa aspect gani?Baada ujibu hoja unaruka ruka kama chura wa Snura vipi mzee, ndio fikra huru toa basi vitu productive, mbona unaonyesha uwezo wako mapema au umeashau ulichoandika awali?Kazi kweli kweli?