ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,974
Kwani uwongo mkuu?Pro-Chadema JF wanamuita mswahili asiyeweza kuongoza mnywa kahawa wa Pwani.
Kwani uwongo mkuu?Pro-Chadema JF wanamuita mswahili asiyeweza kuongoza mnywa kahawa wa Pwani.
Nani analilia? umeona maudhui?au na wewe mradi uonekane umechangia?Walisema wamemiss kunywa juice?Wao wamesema wamemmic Jk na ni in all aspect sasa sijui unalilia nn
Si yupo msoga wakamsalimie kama wamemmicNani analilia? umeona maudhui?au na wewe mradi uonekane umechangia?Walisema wamemiss kunywa juice?
Usishangae 2020 Kikwete akawa mgombea wako kupitia UKAWA.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi hawa jamaa bado tu wanazungusha mikono?Kweli ni wana mabadiliko sasa wamebadilika wanamtaka JK.
Alipokuwa anamkaribisha pale Lumumba baada kuchukua fomu, JK aliwaambia umma, " tumekuleteeni chuma hiki, kimeanza kutema cheche kabla hakijaanza kazi, kuna wakati walisema mimi mpole wanata mtu mkali, huyu hapa mkali, tena mkali kweli kweli"
duh, binadamu bwana, kwani mtu akiwa na mapungufu yake anakuwa hana mazuri? kikwete alikuwa na mapungufu, pia alikuwa na mazuri, sasa mazuri ndio lema anaya missUsishangae 2020 Kikwete akawa mgombea wako kupitia UKAWA.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
CCM sio vigeugeu? wajumbe wa halmashauri kuu walikuwa wanamuunga mkono lowassa wakaandamana kule dodoma alipokatwaJina linalowafaa CHADEMA ni "VIGEUGEU"