duh! kamanda umeliwezea hili jinga, eti nalo linajiona Lina weledi wakati Hamna kitu. chabruma angalia hii picha kama unamfahamu Huyo aliyebebwa
Kwani kupanda Boxer ni tatizo?
Hahahahahaha!! Kwani Magu hawawezi kumtukana?
Asantee kamanda kuna kitu nilitaka niandike lakini naona tayari kimo kwenye maelezo haya yaliyojitosheleza.....!! wamekuja na gazeti lao lililobeba mambo ya miaka tele iliyopita wakiamini kuwa itakuwa ni reference yenye mashiko, lakini kumbe ni swala tu la kuchekecha akili kwa mtu anaefuatilia mambo na kuona hilo gazeti zote ni pumba.Uhakika upi? Ni mtu mjinga tuu ambaye mabadiliko anayaona na hajui kama yanatokea. Naibu spika Ndugai alisemwa sana kuhusu utendaji wake na akaamua kubadilika na kufuata kanuni kiasi akawa mwiba kwa serikali ya ccm na wenye akili waliona.
Kumbuka mjadala wa ESCROW jinsi alivyouruhusu na kusababisha serikali kuyumba hadi kuamua kumpa likizo ya lazima na mapumziko nje ya nchi.
Huo ni mfano mmoja tuu, lakini alifikia hatua ya kuwaambia Mawaziri wasitegemee kiti chake kuwalinda wanaposhindwa kujibu hoja za wabunge. Kwa nini wasim miss sasa? Hata Uspika wake halikuwa chaguo la wakubwa ndio maana wakamleta Tulia agombee na iliposhindikana wakampa unaibu.
Ndio maana hata wajuzi wa mambo wanadhani hata ugonjwa wa Ndugai waweza kuwa na mkono wa chama chake kama ilivyo desturi (inadhaniwa hivyo)
Sasa kuleta andiko la kabla hajabadilika ndio ujanja?
Ni sawa na mtu awe hajaenda jando na ukamtangaza sana, lakini akaamua kwenda nawe bado wang'ang'ania kuwa bado ana lile dubwasha, utakuwa na akili kweli.
Thats you, mleta mada
Acha zako ww maamumaWeweeee umtukane Dr.Magufuli?? Unadhani JK yule mpaka kina Mzito Kabwela walikuwa wanamtukana hovyo au waitishe maandamano waone.