Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake. Sikutegemea mtu mzoefu kama wewe
Ritz ushindwe kuipata point ya Lema pale bungeni. Nimejaribu kuweka ile clip nimeshindwa ili watu wengine nao waisikie, lakini kumbe hata kebehi ya Lema kwako wewe ni sifa?
Pale alichosema nikama uwe unakunywa chai ukitamani kuishusha na keki lakini ukapata kiazi, lakini chai inayofuata ukaletewa na muhogo mchungu ni wazi kuwa utasema ume kimiss kiazi hata kama matarajio yako ni keki.
Kwa vile sasa kuna muhogo mchungu basi bora hata kiazi kama keki hakuna.