Godbles Lema video: Nimemmis sana Kikwete

Godbles Lema video: Nimemmis sana Kikwete

Haujui kujenga hoja na ni mtupu wa mwisho, nakupuuza, endelea kusifiana na wenzako but hope you can improve your uandishi next time.
Hahahahahaha!! Hoja gani kuwa mateka wa Mbowe na Lema.
 
They say Never argue with an idiot. They will drag you down to their level and beat you with experience.Kwaheri mzee nimwelewa Sarah naona you want to drag me down to your level and beat me with your experience, kwaheri
R.I.P
mules
 
Hahahahahaha!! Hoja gani kuwa mateka wa Mbowe na Lema.
They say Never argue with an idiot. They will drag you down to their level and beat you with experience., i will never let that happen eti mateka wa Mbowe na Lema, so hoja yako ni Mbowe na Lema now?Sio Msigwa na Lema kumiss JK, i told you what your supposed to refer still unapiga kelele, u know what that mean you wanna drag me down to your level , i will not let that happen , eti fikra huru, huo utumbo umekaa ndio ukaona fikra huru, uko sawa uppstairs kweli?
 
Katika watu ambao watammiss sana Kikwete basi ni Tundu Lissu
 
Walimuta JK ni dhaifu haya sasa pambaneni na huyu Ngosha muone cha mtemakuni,sasa hivi ni mwendo wa viparaa ni kunyolewa tu,mkisusa bunge hakuna wa kuwabembeleza na kuwaita ikulu kunywa chai,mkisusa bunge linaendelea na budget inapitishwa mkiandamana bila kufuta taratibu manapigwa tu maana hakuana namna nyingine.
 
Mkuu nani anapambana na Rais?Umeelewa mantiki?nani ana nia ya kupambana na Mhe Rais?Na nani alikuwa anapambana na JK?Ile picha ya chai imewapoteza kabisa mpaka mnahama kwenye hoja ya msingi , hoja ya msingi sio dhaifu,chai wala kupambana ,wapi wabunge walitoka nje ya Bunge la bajeti Mhe. Rais akawaita Ikulu na kuwabembeleza?Tujifunze kuelewa kabla ya kuchangia, ndio ni jukwaa huru ila tukielewa inaleta maana zaidi, jioni jema mkuu
 
Another hopeless stupid comment, kwa hiyo haya ndio majibu na utetezi wako umeelewa nilichosema au bado una tatizo la kutoelewa?
CDM8.jpeg

Wanavyosema wamemmiss JK wanamaanisha vingi.
 
Hahahahahaha!! Hoja gani kuwa mateka wa Mbowe na Lema.
Mimi binafsi naamini au ni muumini wa uwazi na ukweli, tukija kwa JK kwa kweli Hakuwa mwoga wa kukosolewa na ndio maana Kila aliyejisikia kusema alisema anachotaka. Ninachokiona kwa JPM japo ni mapema ni woga wa kukosolewa na uwazi na ndo maana wanaomuunga mkono nao wana uoga matokeo yake wanafanya mambo yanayowatia upofu, mfano mdogo tu KUONYESHA bunge live. Jiulize leo ni WATANZANIA WANGAPI wenye set za tv majumbani mwao waangalie marudio ya bunge saa 5 USIKU? Vijiji vingi havina umeme, sie akina yakhe tulikuwa jioni tunaenda kwa Mangi kuangalia bunge na taarifa habari tunarudi KWENYE matembe yetu. (mangi ana jenereta). Kwa nini tusimmisi JK jamani? Naungana na Lema na Msigwa.
 
Mkuu nani anapambana na Rais?Umeelewa mantiki?nani ana nia ya kupambana na Mhe Rais?Na nani alikuwa anapambana na JK?Ile picha ya chai imewapoteza kabisa mpaka mnahama kwenye hoja ya msingi , hoja ya msingi sio dhaifu,chai wala kupambana ,wapi wabunge walitoka nje ya Bunge la bajeti Mhe. Rais akawaita Ikulu na kuwabembeleza?Tujifunze kuelewa kabla ya kuchangia, ndio ni jukwaa huru ila tukielewa inaleta maana zaidi, jioni jema mkuu
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji amemtaka Rais Magufuli apunguze utumbuaji majipu. Adai inadhalilisha Watumishi wa SerikaliAlisema pamoja na kuwa CHADEMA wanaunga mkono kitendo cha kuwashughulikia mafisadi pamoja na watumishi wasio timiza majukumu yao ipasavyo lakini hawako tayari kuendelea kushuhudia ambavyo amekua akivunja sheria za nchi. “Watumishi wengi wamedhalilishwa na serikali hii ambayo imekuwa ikitumia mabavu kuwawajibisha watu bila kufuata sheria za nchi,” alisema Dk, Mashinji. “Suala la rushwa katika nchi ni jambo la kimfumo ambapo kila unapoona kunamtu katumbuliwa kwaajili ya rushwa basi kuna idadi kubwa ya watu ambao wanashiriki katika rushwa hiyo,” aliongeza Dk Mashinji.Aidha, alisema kuwa utaratibu wa Rais kuwatumbua watumishi kwenye mikutano ya hadhara kwa kutumia ushabiki wa wananchi hauwezi kulisaidia taifa kufanikiwa katika kuwaletea mabadiliko ya kweli wananchi wake.
 
Vipi wewe ujammiss JK kama viongozi wako?
Upele umepata mkunaji....hapo utaongea weeee kujipendekeza kwa JPM baada kufukia mashuzi yenu ya Lugumi! Lazima umsifie maana sijui aibu ile mngeiweka wapi! ....anajuta kuwajua! Familia nzima mnapiga deal z wizi!
 
Hapa ndio anapambana na Mhe. Rais?
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amemshitaki Rais John Magufuli mbele ya maaskofu kadhaa wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).

Mbowe amedai kuwa Serikali yake ya Awamu ya Tano imekuwa ikiwatimua watumishi mbalimbali wa umma bila kuwapa nafasi ya kuwasikiliza kupitia kampeni ya kupambana na ufisadi, inayotambulishwa kwa kaulimbiu ya ‘utumbuaji majipu’. Akizungumza jana katika ibada maalumu ya shukrani kwa kumaliza uchaguzi mkuu salama, iliyofanyika kwenye Usharika wa Nshara wa Dayosisi ya Kaskazini ya KKKT na kuhudhuriwa na Mkuu wa KKKT, Askofu Dk. Frederick Shoo, na maaskofu wastaafu Dk. Erasto Kweka na Dk. Martin Shao, Mbowe alisema (wapinzani) hawaridhishwi na hatua ya serikali ya Rais Magufuli kuendeleza timuatimua na kuwasimamisha kazi watumishi wa umma 160 tangu aingie madarakani bila kuwapa nafasi ya kuwasikiliza.

Mbowe ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, alisema wapinzani wako tayari kuipongeza serikali wakati wowote inapofanya mambo mazuri kwa manufaa ya taifa, lakini kwa sharti kwamba mara zote iwe inahakikisha sheria za nchi zinasimamiwa, mali na rasilimali za umma zinalindwa na kila kitu kinafanyika kwa kuzingatia taratibu zilizopo. "Kutokana na hali ya sintofahamu kutamalaki katika taifa kwa sasa, hakuna mtumishi wa umma aliye na amani kutokana na mfumo unaoitwa kutumbua majipu.

Tunasikia watumishi wa umma wakifukuzwa kazi bila kusikilizwa. “Mpaka sasa kuna watumishi 160 wamefukuzwa na wengine kusimmishwa. Lakini pia zaidi ya taasisi na idara za serikali zipatazo 20 hazina uongozi…hii si sahihi,” alisema.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amemshitaki Rais John Magufuli mbele ya maaskofu kadhaa wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)
Hii inahusiana nini na kummiss Jk?Inahusiana nini na kupambana na Mhe. Rais kwa hiyo hapa anapambana na Mhe. Rais mbona unajiexpose jinsi ulivyo mapema hivi?Hii inahusiana na alichosema Mhe Lema na Mchungaji Msigwa Bungeni?Anzisha uzi mwingine mkuu, yaani umeama kabisa now , dont drag me down, sitakuja huko mkuu hapa ni hoja kwa hoja tu nadhani uzi mkuu ushakufa?
 
Wanaukumbi.

Jana nimemsikiliza Lema akichangia bungeni kuwa kammiss Rais Kikwete aliyemaliza muda wake.

Wakati wa utawala wa JK hawa hawa Chadema walisema JK ni rais dhaifu leo tena wanasema wamemmiss daah!

Ilifikia wakati Chadema wakatoa tamko kuwa watampeleka JK ICC kulikoni leo Lema na Msigwa mmemiss JK.

Dua lenu limekubaliwa rais JK dhaifu kaondoka kaja Rais Magufuli pambaneni naye JK hagombei tena urais.

View attachment 348359

View attachment 348360

Brother nadhani umekosa point muhimu ya Lema...
walipo msema JK dhaifu ni kwa vile aliachia wateuzi wake wakifanya madudu...
lakini hawakuwahi kumkosoa kwa kuachia bunge liwe huru pia hawakuwahi kumkosa kwa kuachia vyombo vya habari na waandishi wenyewe kuwa huru..hilo walimsifu hata wakati yupo madarakani.

JK Ndie alienzisha utaratibu wa ripoti za Mkaguzi mkuu ziende bungeni zijadiliwe..aliachia hayo bila ya kuogopa ..sasa ni tofauti kuna kauzibe fulani na hili sio la lema wala wewe uhuru huu tulopata wa kujadiliana kwa hoja ni vyema ukaachiwa..haya ndio yana saidia serikali kujisa hihisha haya ..
kumzuia mbunge usisome ukurasa huu na ule hakika hayakutarajiwa...tukidhani bunge lingekua live na moto zaidi ..hatukutarajia tuwe na bunge la rubber stamp.
Naamini Mbunge Filikunjombe ange kuwa hai ..basi angekufa kwa pressure nina uhakika asingekubali haya
 
Dua lenu limekubaliwa rais JK dhaifu kaondoka kaja Rais Magufuli pambaneni naye JK hagombei tena urais.
Nani anapambana na Rais?Kwa hiyo Hotuba ya Mhe.Lema ilikuwa na lengo la kupambana na Mhe. Rais?Bunge sasa hivi ni chombo cha kupambana na Mhe Rais? "Jana nimemsikiliza Lema akichangia bungeni kuwa kammiss Rais Kikwete aliyemaliza muda wake" Umemsikiliza Mhe. Lema alisema hilo kwa aspect gani?Baada ujibu hoja unaruka ruka kama chura wa Snura vipi mzee, ndio fikra huru toa basi vitu productive, mbona unaonyesha uwezo wako mapema au umeashau ulichoandika awali?Kazi kweli kweli?
 
Brother nadhani umekosa point muhimu ya Lema...
walipo msema JK dhaifu ni kwa vile aliachia wateuzi wake wakifanya madudu...
lakini hawakuwahi kumkosoa kwa kuachia bunge liwe huru pia hawakuwahi kumkosa kwa kuachia vyombo vya habari na waandishi wenyewe kuwa huru..hilo walimsifu hata wakati yupo madarakani.

JK Ndie alienzisha utaratibu wa ripoti za Mkaguzi mkuu ziende bungeni zijadiliwe..aliachia hayo bila ya kuogopa ..sasa ni tofauti kuna kauzibe fulani na hili sio la lema wala wewe uhuru huu tulopata wa kujadiliana kwa hoja ni vyema ukaachiwa..haya ndio yana saidia serikali kujisa hihisha haya ..
kumzuia mbunge usisome ukurasa huu na ule hakika hayakutarajiwa...tukidhani bunge lingekua live na moto zaidi ..hatukutarajia tuwe na bunge la rubber stamp.
Naamini Mbunge Filikunjombe ange kuwa hai ..basi angekufa kwa pressure nina uhakika asingekubali haya

Anaelewa fika kila kitu ila anawajua wenzake jinsi walivyo so kaleta huu uzi ili wasifiane na kwenye uzi wake anaadmit kamsikiliza Mhe. Lema lakini ona lichoandika na arguments zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom