Godbles Lema video: Nimemmis sana Kikwete

Godbles Lema video: Nimemmis sana Kikwete

Shikamoo kaka Chabruma. Umerejesha makali yako ya Bunge la Katiba
Ahsante Lizaboni. Tupo pamoja. Nilikuwa busy sana hapa kati ila kwa sasa mwendo mdundo. Nitawakimbiza sana hawa vijibwa mpaka wabwekwe bwe nwe bwe bweeeeee
 
Yani mkuu kama ni kisu kimegota kwenye mfupa , ila pole mkuu najua ufipa watakuja hapa na matusi tele . dawa imewaingia
 
Yani mkuu kama ni kisu kimegota kwenye mfupa , ila pole mkuu najua ufipa watakuja hapa na matusi tele . dawa imewaingia
Ahsante sana Mkuu. Tumeshawazoea hawa. Wao wanatukana. Sisi tunamwaga nondo za uhakika
 
Uzi huu umekuwa mwiba mchungu Mtaa wa Ufipa. Nawaona jinsi wanavyochungulia na kutoka nduki
 
Ahsante Lizaboni. Tupo pamoja. Nilikuwa busy sana hapa kati ila kwa sasa mwendo mdundo. Nitawakimbiza sana hawa vijibwa mpaka wabwekwe bwe nwe bwe bweeeeee

Siku nyingi hamkutani Lumumba kuchukua buku7, baada ya wewe kupewa shavu kwa kuwatetea magamba na ufisadi wao, huku Lizabon yeye akiendelea kusugua benchi kwenye mitandao ya kijamii kwa ujira Wa buku7. vipi majukumu ya kazi lakini maana kazi uliyopewa inaonekana kukuzidi umri umebaki Wa kuhangaika na matamko ya kijinga kings tu
 
Lizaboni nipo Songea. Chabruma sina hakika yupo wapi. Ila sote tunaunganishwa kwa mahaba yetu na CCM na Serikali yake
 
Mkuu, acha kutukana watu. Hivi uwezo wa Chabruma unafanana na nani hapo Ufipa? Hamumfikii hata kwa robo. Mimi pamoja na uwezo wangu namvulia kofia Chabruma

Mkuu kwani na wewe una uwezo wowote au ni mpiga zomali tu wa kawaida
 
Ahsante sana Mkuu. Tumeshawazoea hawa. Wao wanatukana. Sisi tunamwaga nondo za uhakika
Uhakika upi? Ni mtu mjinga tuu ambaye mabadiliko anayaona na hajui kama yanatokea. Naibu spika Ndugai alisemwa sana kuhusu utendaji wake na akaamua kubadilika na kufuata kanuni kiasi akawa mwiba kwa serikali ya ccm na wenye akili waliona.
Kumbuka mjadala wa ESCROW jinsi alivyouruhusu na kusababisha serikali kuyumba hadi kuamua kumpa likizo ya lazima na mapumziko nje ya nchi.
Huo ni mfano mmoja tuu, lakini alifikia hatua ya kuwaambia Mawaziri wasitegemee kiti chake kuwalinda wanaposhindwa kujibu hoja za wabunge. Kwa nini wasim miss sasa? Hata Uspika wake halikuwa chaguo la wakubwa ndio maana wakamleta Tulia agombee na iliposhindikana wakampa unaibu.
Ndio maana hata wajuzi wa mambo wanadhani hata ugonjwa wa Ndugai waweza kuwa na mkono wa chama chake kama ilivyo desturi (inadhaniwa hivyo)
Sasa kuleta andiko la kabla hajabadilika ndio ujanja?
Ni sawa na mtu awe hajaenda jando na ukamtangaza sana, lakini akaamua kwenda nawe bado wang'ang'ania kuwa bado ana lile dubwasha, utakuwa na akili kweli.
Thats you, mleta mada
 
Umeshikwa pabaya leo. Chabruma kawashika kwenye nyeti zenu. Ndo maana mnahangaika. Huku mkitoka mimacho
 
Kwa sisi wenye akili timamu hakika hatuachi kuwacheka na kuwashangaa hawa wabunge wa upinzani kwa huu undumilakuwili na uendawazimu wanaoionesha. Sijajua hasa ni nini kinawapanda vichwani mwao mpaka wanashindwa kutunza kumbukumbu zao vizuri na kusahau nini walifanya jana yake ili waoanishe na wanachofanya leo.

Ameanza Godbless Lema kummiss Rais Jakaya Kikwete ambaye amemaliza muda wake Novemba tano 2015. Wamesahau kuwa ni huyu huyu Kikwete ndiye walimuita Rais dhaifu kuweza kutokea Tanzania.

Sasa wameanza kilio kipya cha kumlilia Spika Job Ndugai wakidai kuwa Naibu Spika Dr Tulia Akson anawakandamiza na kuwaziba midomo ili wasisikike. Hakika madai haya yamenishangaza sana na kuniacha mdomo wazi. Je ni nini hasa wanachokitaka hawa wapinzani? Je wana madai mapya ama ni kuendeleza kile walichofanya miaka iliyopita?

Hebu soma habari hii hapa chini then Uniambie kama Wapinzani wanatumia akili kufikiri ama wanatumia viungo vingine vya miili yao.

WAPINZANI WAUNGANA KUMSUSIA NAIBU SPIKA JOB NDUGAI

KWA mara ya kwanza tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa 2010, wabunge wa vyama vya upinzani Februali Mosi 2013 waliungana pamoja na kumsusia Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, wakipinga hatua yake ya kupindisha hoja binafsi ya Mbunge wa kuteuliwa na Rais, James
Mbatia (NCCR-Mageuzi) na kuitetea serikali bila maelezo yanayoeleweka.
Kwa pamoja, wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), National Convention for Construction and Reform (NCCR- Mageuzi), United Democratic Party (UDP) na Chama cha Wananchi (CUF) walitoka nje ya ukumbi wa Bunge wakaenda ukumbi wa kambi ya upinzani kufanya kikao cha dharura juu ya hatua za kuchukua dhidi ya ubabe wa Ndugai.

Hatua kama hiyo ya kutoka nje ya ukumbi wa Bunge, imekuwa ikitumiwa na wabunge wa CHADEMA ambayo inaunda kambi rasmi ya upinzani bungeni kupinga baadhi ya masuala kadhaa.
Hata hivyo, kwa mara mbili tofauti CHADEMA waliposusia Bunge, wenzao wa vyama vingine hawakuwaunga mkono, hatua iliyotafsiriwa kama kutokuwapo kwa mshikamano.

Kwa mara ya kwanza, CHADEMA walisusia hotuba ya Rais Jakaya Kikwete ya kufungua Bunge, wakipinga matokeo ya uchaguzi mkuu uliyomleta madarakani na mara ya pili walitoka nje ya ukumbi wakipinga kupitishwa kwa sheria ya mabadiliko ya katiba mpya.

Hali hiyo ni tofauti na Februari Mosi 2013 ambapo wabunge wa vyama hivyo vya CHADEMA, CUF, UDP, TLP na NCCR-Mageuzi waliungana kwa kutoka nje ya ukumbi wa Bunge, kupinga hatua ya Ndugai kuwaburuza katika kupitisha hoja ya Mbatia.

Hoja hiyo binafsi iliyoainisha udhaifu katika mfumo wa elimu nchini, iliwasilishwa na kuibua mjadala mzito bungeni, huku kambi ya upinzani ikikubali hoja ya Mbatia kutaka kuunda kamati teule wakati wabunge wa CCM wakipinga.
Mzozo wa jana ulianza baada ya Mbatia kufunga hoja yake na kutaka Waziri wa Elimu na

Kwa muktadha huu, nawaomba wasomaji wa uzi huu muuweke kwenye makabrasha yenu ili tukikutana baada ya uchaguzi wa 2020 tuje tujikumbushe. Kwa hakika hamtaamini. Hawa hawa wanaompinga leo Dr Tulia ndio watakaomlilia. Ni kawaida yao kwani walifanya kazi kubwa ya kunadi ufisadi wa Lowasa na genge lake lakini ni hao hao leo wanamsafisha. Kazi wanayo
Hivi hizi ndio akili timamu?

1466588169406.jpg
 
Kwani kupanda Boxer ni tatizo?
Siyo tatizo, taizo ni Makonda kuwaambia wasiovaa helmet watashitakiwa kwa kutaka kujiuwa ilhali yeye mwenyewe hajipeleki mahakamani kwa kosa hilohilo!

Vipi yale madawati yetu 600 Diamond ameshakabidhi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom