Godbles Lema video: Nimemmis sana Kikwete

Mimi mwenyewe UKAWA lakini kwa upande wa uhuru wa habari nimemmisi kweli mzee wa Msoga.. Jamaa alikuwa hana makuu na alikuwa mpole kweli.. Sasa huyu ngosha ni tatizo mkali harafu gharama ya maisha imepanda kweli kweli.. JK tumekumiss
 
Wanaukumbi.

Jana nimemsikiliza Lema akichangia bungeni kuwa kammiss Rais Kikwete aliyemaliza muda wake.

Wakati wa utawala wa JK hawa hawa Chadema walisema JK ni rais dhaifu leo tena wanasema wamemmiss daah!

Ilifikia wakati Chadema wakatoa tamko kuwa watampeleka JK ICC kulikoni leo Lema na Msigwa mmemiss JK.

Dua lenu limekubaliwa rais JK dhaifu kaondoka kaja Rais Magufuli pambaneni naye JK hagombei tena urais.

View attachment 348359

View attachment 348360

Huyu ngosha sijui nasema sijui kama itatokea hata siku moja akawaita wapinzani ikulu...
 
JK kaukanwa sana yeye na familia yake kaitwa mcheza ngoma, tezi dume, mcheza bao, mnywa kahawa, mswahili, haya sasa kaondoka kaja mtu wa shoka JPM.
Sasa kama watu wana kutukana wakati chini ya kapeti wewe una piga dili zako za ukweli uta wasikia? nahata ukiwasikia utawajali? muda ukifika unaji ondokea tu na dhahabu zako una waachia mashimo na vilio.
 
Wamechanganyikiwa, namuona Zitto pekee kama mpinzani kwenye Bunge la bajeti linaloendelea ndiyo anajua nini anafanya. Wenzetu hawa hata hawaongelei makadirio ya mapato na matumizi, kila wakipewa nafasi ni Bunge live, kumbuka JK na mambo yasiyo husiana na kile kinachoendelea, halafu hao ndiyo tunaambiwa ni akili kubwa tegemeo la Chadema.

CCM itatawala milele.
 
Maandamano vip wakuu?

Dr Slaa kaondoka na chadema yake maskin
Wafanye maandamano kwenye utawala wa John Magufuli?

Wajaribu waone siyo JK huyo.

Uzuri wa Magufuli yeye ana cha kulemba nyeupe nyeupe tu.
 
Wanaukumbi.

Jana nimemsikiliza Lema akichangia bungeni kuwa kammiss Rais Kikwete aliyemaliza muda wake.

Wakati wa utawala wa JK hawa hawa Chadema walisema JK ni rais dhaifu leo tena wanasema wamemmiss daah!

Ilifikia wakati Chadema wakatoa tamko kuwa watampeleka JK ICC kulikoni leo Lema na Msigwa mmemiss JK.

Dua lenu limekubaliwa rais JK dhaifu kaondoka kaja Rais Magufuli pambaneni naye JK hagombei tena urais.

View attachment 348359

View attachment 348360
Chai ya ikulu tamu sana
 
Hao achana nao.Wakati wa Mwinyi walisema heri wakati wa Nyerere.Mwinyi alipoondoka akaja Mkapa wakasema heri wakati wa Mwinyi.Mwinyi alipoondoka akaja Kikwete wakasema ni heri utawala wa Mwinyi kuliko wa Kikwete.Kikwete kaondoka kaja Magufuli wanasema heri wakati wa Kikwete!!!

Na bado wanavuna laana ya kutukana watu ambao hawajawakosea kitu.Kikwete aliwalea sana na kuwabeba mno lakini hawakubebeka.Alikuwa akiwasikiliza sana wapinzani mpaka CCM tunamnunia lakini wakawa wanamwona Mpuuzi tu na kumtukana kila siku.

Walipiga yowe kuhusu Lowasa kuwa fisadi Kikwete kutokana na kupenda kuwasikiliza akawasikiliza

Kikwete alikuja kujua mwishoni wapinzani hawana maana walipomchukua Lowasa na kumfanya mgombea wao.! Alibaki mdomo wazi haamini kuwa ni wanafiki wakubwa kiasi hicho.Angekuwa anaendelea kushika uongozi awamu ya Tatu kikwete asingesikiliza kabisa wapinzani na asingekaa nao karibu tena wala kunywa nao chai ikulu.Ni wanafiki na vigeu geu ambao hawawezi aminika kupewa nchi kwa ukigeu geu wao waweza uza nchi mchana jua linawaka.
umeeleweka mkuu chukua like zangu za nguvu.
 
Pro-Chadema JF wanamuita mswahili asiyeweza kuongoza mnywa kahawa wa Pwani.
Yani wana lialia tuu kila wakati na unafiki wao nimefurahi kuwasikia wanalialia na Magufuli ana wanyoosha sana
 
Alipokuwa anamkaribisha pale Lumumba baada kuchukua fomu, JK aliwaambia umma, " tumekuleteeni chuma hiki, kimeanza kutema cheche kabla hakijaanza kazi, kuna wakati walisema mimi mpole wanata mtu mkali, huyu hapa mkali, tena mkali kweli kweli"
naikumbuka sana hii "....... mtanikumbuka......"

ilikua ni sehemu ya hotuba hiyo
 
HAHAHA! Sharif Ritz hizo pich ni ile siku waliyokwenda ikulu kunywa juice ?! haha!
 
UKAWA WANAMKUMBUKA RAIS DHAIFU WALIYEMCHACHAFYA... mi nakumbuka kuna jamaa yangu alikuwa akimiss mtu wa kumwonea anakuwa kama mgonjwa so anahaingaika atampata nani wa kumburuza,kumnyanyasa n.k. na ndo maana hawa wanammiss mtu ambaye alikuwa anwapa kick sana. kikwete hakutaka shida anajilia vyake na kelele za chura zilikuwa hazimzuii mwanadamu kuchota maji. so akawa anajilia vyake na anawaacha wapige kelele kila mtu ajilie vyake kwa uwezo wake.

Wanaukumbi.

Jana nimemsikiliza Lema akichangia bungeni kuwa kammiss Rais Kikwete aliyemaliza muda wake.

Wakati wa utawala wa JK hawa hawa Chadema walisema JK ni rais dhaifu leo tena wanasema wamemmiss daah!

Ilifikia wakati Chadema wakatoa tamko kuwa watampeleka JK ICC kulikoni leo Lema na Msigwa mmemiss JK.

Dua lenu limekubaliwa rais JK dhaifu kaondoka kaja Rais Magufuli pambaneni naye JK hagombei tena urais.

View attachment 348359

View attachment 348360
 
Hao achana nao.Wakati wa Mwinyi walisema heri wakati wa Nyerere.Mwinyi alipoondoka akaja Mkapa wakasema heri wakati wa Mwinyi.Mwinyi alipoondoka akaja Kikwete wakasema ni heri utawala wa Mwinyi kuliko wa Kikwete.Kikwete kaondoka kaja Magufuli wanasema heri wakati wa Kikwete!!!

Na bado wanavuna laana ya kutukana watu ambao hawajawakosea kitu.Kikwete aliwalea sana na kuwabeba mno lakini hawakubebeka.Alikuwa akiwasikiliza sana wapinzani mpaka CCM tunamnunia lakini wakawa wanamwona Mpuuzi tu na kumtukana kila siku.

Walipiga yowe kuhusu Lowasa kuwa fisadi Kikwete kutokana na kupenda kuwasikiliza akawasikiliza

Kikwete alikuja kujua mwishoni wapinzani hawana maana walipomchukua Lowasa na kumfanya mgombea wao.! Alibaki mdomo wazi haamini kuwa ni wanafiki wakubwa kiasi hicho.Angekuwa anaendelea kushika uongozi awamu ya Tatu kikwete asingesikiliza kabisa wapinzani na asingekaa nao karibu tena wala kunywa nao chai ikulu.Ni wanafiki na vigeu geu ambao hawawezi aminika kupewa nchi kwa ukigeu geu wao waweza uza nchi mchana jua linawaka.
Kwa tukio hilo hapo kwenye red ndo maana alipania kusema watawanyoosha
 
Naona kama mnafarijiana, hiyo kauli ya tunamiss sio kwamba inasimama hivyo hivyo wakati wote bali inategemea na muktadha wa mtu anachokiongea kwa muda huo. Kwani ni mara ngapi bado watu wameendelea kuonyesha jinsi nchi hii iiikuwa imeoza. Mnazungumza hivyo kana kwamba ndio homa kabisa watu wamepata baada ya JK kuondoka.
 
Wanaukumbi.

Jana nimemsikiliza Lema akichangia bungeni kuwa kammiss Rais Kikwete aliyemaliza muda wake.

Wakati wa utawala wa JK hawa hawa Chadema walisema JK ni rais dhaifu leo tena wanasema wamemmiss daah!

Ilifikia wakati Chadema wakatoa tamko kuwa watampeleka JK ICC kulikoni leo Lema na Msigwa mmemiss JK.

Dua lenu limekubaliwa rais JK dhaifu kaondoka kaja Rais Magufuli pambaneni naye JK hagombei tena urais.

View attachment 348359

View attachment 348360
pro jk kwenye ubora wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom