Wewe unaewaza Rationally umefanya kipi kuweza kukutofautisha na mtu wa karne ya kwanza? Nakuzungumzia wewe kama wewe unatofauti gani kiustaarabu, kiakili, kimaadili, kihekima!?
Zaidi sana hata hayawani watakuwa wanakuzidi.
Kwa kiwango cha Sayansi na Teknolojia iliyopo imeshindikana vipi kuumba UHAI?
Hata jani lililo hai tu...! Niambie, inashindikanaje?
Unapozungumzia suala la Contradictions zilizopo katika vitabu vya dini hilo ni suala lingine, na lina maelezo yake.
Unasema, nimetunga Quote, thibitisha...!
badala ya kujadili mada umeanza persona attacks sasa, matusi hahaa, ndio wafia dini mlivyo, mnafura na kumshambulia anayeleta mawazo badala ya kukosoa hoja zake kwa hoja, ndio maana Dini ni chanzo cha ugaidi na mauaji mengi sana Duniani, sababu wafia Dini hawawazi kwa logic, ni hasira, kupiga na kuua tu
hapa mzee tunajadili hoja sio mimi, mimi nikikutajia ni mtu wa aina fulani utaamini vip wakati tunatumia fake IDs?
Hiyo quote ni uongo, Einstein hakuwa muumini wa Kikristo, kasome Historia yake zipo Google ipo, hakuwa hata mtu wa siku nyingi, ni wa karne ya 20. Anyway hata akiwa au asipokuwa muumini haithibitishi Bible au Quran ni ya kweli
Binadamu kuumba uhai hilo ni debate nyingine, ukitaka tuanze kujadil chano cha uhai hiyo ni debate nyingine ndefu
Na hata kama binadamu hawezi kuumba uhai, je hilo ndio linalothibitisha kuwa Bible na Quran ndio vya kweli? Logic umeitoa wapi hiyo ndugu?
Kwa hiyo mtu akikuletea nadharia za kufikirika, zisizo na mantiki kuhusu uhai utaziamini tu kisa binadamu hawezi kuumba uhai?
Hii Dunia ya leomimekuwa ya amani na utulivu kwa sababu Dini imeondolewa kwenye siasa za kuendesha nchi, Wazungu waliona Dini ni upuuzi na ndio maana wakaitoa, Kipindi cha Dini na serikali kuwa kitu kimoja Dunia ilijaa machafuko na ugaidi, sababu Dini zenyewe zimejaa ugaidi na zimeenezwa kwa ugaidi
Baadhi ya Nchi za Kiislam zimechanganya bado Dini kwenye katiba zao ndio maana haziachi machafuko