comred
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 1,867
- 1,607
- Thread starter
- #181
Anayefura kati yangu na wewe ni nani?
Kuita Maandiko upuuzi, kunaonesha akili zako zilivyo!
Ungekuwa una-experience ya mambo ya kidini na uponyaji ungeelewa kwanini nimezungumzia Uhai.
Tatizo, huna.
Dini na Uponyaji...?!!?
Wafia dini akili zenu kwann hamkai nazo mmewakabidhi matapeli/wachunga/manabii fake ma mbumbumbu..
Wewe dini imewahi kukuponya kivipi..?!? au ni illusination zako tuu, Dini ni chama cha siasa au cha ushirika, NGO....tokea lini unaponywa na Ltd..ukiumwa nenda hospitali sio hawa wapiga deal