magagafu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,196
- 1,309
Jibu swali niliokuuliza?Hali ya kimazingara ndiyo nini?
Jibu swali niliokuuliza?Hali ya kimazingara ndiyo nini?
Jibu swali niliokuuliza?
Unaamini wanga wapo?
Kukwepa maswali yanayo onyesha udhaifu wa hoja zako ni kawaida yako.Unauliza au unatoa kauli?
Swali haliwezi kujibiwa kama halijaeleweka.
Nakuuliza maswali nielewe unauliza nini ili nikujibu vizuri.
Wewe mwenyewe unalielewa swali lako?
Mbona kama unashindwa kunielezea unachouliza ni nini?
yule ni muigizaj naongelea yesu mwenyewe.. je unaamini aliwai kuwako?Yesu gani?
Brian deaocon?
Kama ndiye yule aliyevaa kichupi yuko msalabani namjua, tofauti na hapo kuna hitajika maelezo ya kina ili nikuelewe
si ukasome..kwan unapokua unaweza kusoma low of motion.. si unakua umesoma..sasa nenda kasome na biograghy yake..afu uje hapaSar issac hakua mwanasayansi pekee
kijana..na hizi takwimu zako unazitoa wapi kua aliamini katika huyu mungu wenu
Yesu gani huyo mwingine aliyewahi kuwepo?yule ni muigizaj naongelea yesu mwenyewe.. je unaamini aliwai kuwako?
Yesu gani huyo mwingine aliyewahi kuwepo?
Alikuwepo wapi?
yaan mnakubali habali za galileo na isac newton af unakataa yesu alikuwako... jaribu kutafuta source zingine nje na biblia uone zinasema nn kuhusu yesu ...af ujeYesu gani huyo mwingine aliyewahi kuwepo?
Alikuwepo wapi?
Kiranga huwa anakuogopa sijui kwani?Kukwepa maswali yanayo onyesha udhaifu wa hoja zako ni kawaida yako.
Jibu swali we kiranga.
Umeulizwa unaamini Wanga wapo?
Unafahamu wazi kabisa kuwa wanga ni jamii ya WACHAWI sasa acha utoto .
Na mimi nakuongezea .
Kifo ni nini? Au Roho ni nini.
Na kwanini LAZIMA viumbe WAFE ?
Na ukiambiwa mtu KAFA kifo cha kawaida(Natural Death) nini hasa kilichokufa hapo?
Jibu maswali km wewe ni Atheist anaejitambua.
Mi nimekuuliza swali kabla wewe kujibu umeuliza swali, mjadala Kama huo ni mgumu mkuuUnauliza au unatoa kauli?
Swali haliwezi kujibiwa kama halijaeleweka.
Nakuuliza maswali nielewe unauliza nini ili nikujibu vizuri.
Wewe mwenyewe unalielewa swali lako?
Mbona kama unashindwa kunielezea unachouliza ni nini?
Hujauliza swali.Mi nimekuuliza swali kabla wewe kujibu umeuliza swali, mjadala Kama huo ni mgumu mkuu
Unaamini wanga wapo?Hujauliza swali.
Umeshindwa kuuliza swali.
Hata swali lako mwenyewe hulijui.
Ndiyo maana nilipokuomba ufafanuzi, umeshindwa kulifafanua.
Kama sivyo, fafanua swali lako kwa mujibu wa nilivyolihoji.
Kwani wao akina nani?wanasayans wakubwa kama sir isac newotn wakin plancks wanaamini kuna Mungu ..sasa kuna walevi wametoka wapi sijui et wana pinga.... ngoja nikuulize swali unaamini yesu aliishi hapa duniani??/
Hakuna aliyewahi kumuona huyo Mungu na hakuna aliyemtafuta huyo Mungu na kuja na majibu kuwa hayupo,sasa nikuulize nini kinachokufanya useme Mungu angekuwepo kusingekuwa na mabaya?Ikowazi wanajua mungu hayupo ila wanajitoa ufahamu tu laiti mungu angekuwepo kusingekuwa na mabaya duniani
Ukiwauliza mmejuaje kama kuna mungu wanapepesa macho hawana majibu
Mungu gani huyo amekuwa kama sanamu hana anachokijua ktk ulimwengu
Wapi nilikuambia namkubali galileo?yaan mnakubali habali za galileo na isac newton af unakataa yesu alikuwako... jaribu kutafuta source zingine nje na biblia uone zinasema nn kuhusu yesu ...af uje
Sababu ni ndogo tu.Kiranga huwa anakuogopa sijui kwani?
Nani kashindwa kutambua the source of gavity?Even the scientists failed to find the source of "gravity" therefore there must be the first cause known as God. Faith starts where the reason ends
Siku zote hutoa angalizo kuwa kabla hujauliza swali FIKIRI KWANZA hicho unachotaka kuuliza!![emoji2959]Nani kashindwa kutambua the source of gavity?
Kubaka,kuiba, kula Mali ya ummah, kunywa Viroba, uzembe, wizi , ujambazi zinaa ovyo na kula vya Dhulma vyote mfanye nyie kisha mumlaumu Mungu .Ikowazi wanajua mungu hayupo ila wanajitoa ufahamu tu laiti mungu angekuwepo kusingekuwa na mabaya duniani
Ukiwauliza mmejuaje kama kuna mungu wanapepesa macho hawana majibu
Mungu gani huyo amekuwa kama sanamu hana anachokijua ktk ulimwengu
Kwanini Mungu atuumbe na tamaa..? Mimi ukinetega shehe nanasa huwezi juta ulichothubutuKubaka,kuiba, kula Mali ya ummah, kunywa Viroba, uzembe, wizi , ujambazi zinaa ovyo na kula vya Dhulma vyote mfanye nyie kisha mumlaumu Mungu .
Hata Mtoto akiharibu hutafuta sababu ingine
We mtoto unaelewa maana ya neno MUNGU?Sio kwamba Mungu hayupo, hata wewe pia ni Mungu. Shida inakuja vile tunavyomchukulia huyu Mungu sijui kumwabudu, kumsifu kumtolea sadaka n.k hapa ndipo tulipologwa na wazungu. Hakuna Mungu wa aina hiyo Mungu ni Mimi na wewe yaani sisi ni Mungu.