God is faithful; At last, kwa heri Ubachela

God is faithful; At last, kwa heri Ubachela

I always like making people wonder....So happy today I made Safari_ni_Safari to "wonder"

So you think that ''GOD'' can be faithful? To whom and why? I have heard this from so many people and it is not correct. Only human beings can be faithful to each other and to ''GOD'' and no the the other way around.Faithful:Web definitions:any loyal and steadfast following.
 
naomba nimsaidie

punguza ama kuacha marafiki waleviiiiiiiiiiiiiiiii
wanafikiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
wambeyaaaaaaaaaaaaaaaaa
hawa ni pamoja na ndugu zako usikubali ndugu kuingilia nyumba yako hata sikumoja mpwa wangu samahani kwa hili nimepitia huko dat y.........ukiwa weak utakesha na mambo ya wakubwa always kuomba msaada mungu kwanza hili la maana aijalishi milima na mabonde utakayokutana nayo

haahaaaaaa nimesahau awa futa kabisa marafiki waziinzi fyeka kabisa kwa maombi na matendo
 
Both, hasa hasa point yangu iko kwenye kupunguza wingi wa marafiki, Mpwa, tutaongea vizuri kwanini nasema hivyo, nitaweka hapa hapa jamvini subiri nimalizie hii report fasta

Mpwa nasubiri uje umwage mavitu maana najua yatanifaidia...By the way, kuanzia kesho tuko na bintie na ratiba tight ya mafundisho mpaka Alhamisi kwa hiyo naamini ukitumwagia itakuwa sehemu ya chakula muhimu
Never get tired of learning, nasubiri mpwa
 
Duh, mkuu yaani likes tu kutoa unabana, Sredi nzima hata like 4 hazifiki. Hebu mwaga laiks basi, unless naanza kuwa na mashaka na hizo kadi mbili....:glasses-nerdy::becky:
 
So you think that ''GOD'' can be faithful? To whom and why? I have heard this from so many people and it is not correct. Only human beings can be faithful to each other and to ''GOD'' and no the the other way around.Faithful:Web definitions:any loyal and steadfast following.

Kaka Safari_ni_Safari usikariri definition moja tu ya faithful
Inaweza kuwa na maana zaidi ya hiyo

Faithful can mean
"Worthy of confidence and belief; conformable to truth or fact; exact; accurate"..http://www.biblestudytools.com/encyclopedias/isbe/faithful-faithfulness.html

I like these kind of arguments but reserve for today, next time may be....are your there?

Duh, mkuu yaani likes tu kutoa unabana, Sredi nzima hata like 4 hazifiki. Hebu mwaga laiks basi, unless naanza kuwa na mashaka na hizo kadi mbili....:glasses-nerdy::becky:

Haaaaaa, Mbimbinho bana.....usijali nitaziweka
Unajua nilipata emergency kidogo nikatoka ndiyo nimerudi napitia post moja baada ya nyingine zenye kujibu at the same time nilikuwa nawasiliana na mtu kwenye PM kwa ajili ya kadi kisha nitulie nigonge likes
Kadi is real, bila hiyana.....japo inabidi uwahi moja tayari inaelekea kupata mwenyewe

hahahaa., Mkuu hapo tutaenda sawa, we nitupie like then mambo mengine yafuate.
Kwanza harusi itafanyikia wapi? Na mchango ni ngapi? Au JF members will be special guests?:violin:
 
hahahaa., Mkuu hapo tutaenda sawa, we nitupie like then mambo mengine yafuate.
Kwanza harusi itafanyikia wapi? Na mchango ni ngapi? Au JF members will be special guests?:violin:

Mkuu harusi yenyewe ni Jiji la Tanga tarehe 24/11 nikiwa pia nasherehekea na birhday yangu siku hiyo hiyo
Kwa kweli harusi yangu imekuwa ndani ya uwezo wangu (though I am pretty sure itakuwa nzuri sana) na sikuhangaisha watu hivyo usiniulize habari za michango...

Nafasi mbili ni kwa wanafamilia wa JF, Special reserved by the way
 
Cathode Rays unaweka like kwa kuwa umeambiwa uweke like au kweli unamaanisha maana nikiangilia kuna post nimekwambia mambo ya msingi sana ila hujaweka like!well idea yangu sio kuwekewa like au la!la msingi ukiweka like manake unaacknoledge post iliyotolewa!sasa nikilingalaia umeniwekea like hata nilipoandika tu aahhahahahhahahahhahah.............sijaelewa!
 
Last edited by a moderator:

hahahahaa., Duh we M'bayaaaa..., m'bbbbbaya!!! hadi unahoji expense ya likes!! haya bana..!:becky:
 
Haaaaa, snowhite na Mbimbinho naona mmeniamulia cha maukweliii
Nilijibu hapo juu nikasema nilitoka kidogo kwa hiyo ninachofanya ni kusoma kila moja na zenye kujibu nijibu then nitulie nigonge like kwa kila nitakayoona iko okay
Nina uhakika wakati unaandika post hii si ajabu ungeacha na kurudi kwenye notifications ungekuta tayari post unayozungumzia ingekuwa imegongwa like
By the way, I real appreciate you people
 
hahahahaa., Duh we M'bayaaaa..., m'bbbbbaya!!! hadi unahoji expense ya likes!! haya bana..!:becky:
yah si kuna wakati najijua naonga kurefusha baraza halafu kuna wakati namwaga mipwenti!sasa mkuu knashangaza ati kule nilikoshare naye maujuzi yangu ya ndoa miaka takriban 10 hayagonga like huku nakoachia cheko tu kanipa like!sa si ndo nikahoji bana!ahahahhahhahah!ila poa i hope ameelewa!
 
hongera Cathode Rays
Mungu akutangulie
ukamfanye mkeo kuwa rafiki yako
mkumbuke kusali kila uchao
Mkeo wako akukamilishe kama wewe utakavomkamilisha
jifunze kwake kama yeye atakavyojifunza kwako
mpe nafasi zaidi ya kukufahamu
mfanye ajivunie kuwa mke wako
muombee sana aweze kumudu makujumu ya umama!
mkawe na mawasiliano na ridhiko sahihi ndani ya mioyo yenu!

Ki ukweli nisipogongalike kwenye thread kama hii sio to Mungu (the Lord and Master of generosity atakaenishangaa hata shetani mwenye atanishangaa

Thank you so much Snowhite na hapa sasa naelewa kwa nini kuna mwana Jamvi hapa alisema unafaa kuwa mwalimu wa Kitchen Party.....au ndiyo mfundaji wa kijiji nini?
 
Back
Top Bottom