snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,337
hongera Cathode Rays
Mungu akutangulie
ukamfanye mkeo kuwa rafiki yako
mkumbuke kusali kila uchao
Mkeo wako akukamilishe kama wewe utakavomkamilisha
jifunze kwake kama yeye atakavyojifunza kwako
mpe nafasi zaidi ya kukufahamu
mfanye ajivunie kuwa mke wako
muombee sana aweze kumudu makujumu ya umama!
mkawe na mawasiliano na ridhiko sahihi ndani ya mioyo yenu!

Last edited by a moderator: