God is faithful; At last, kwa heri Ubachela

God is faithful; At last, kwa heri Ubachela

ahahahahahhahah haya bana!ngoja nikuitie mwanafunzi wangu mmoja hivi tuone anasemaje kuhusu hili Kaizer will yu please come forward?

Snowhite dada yangu hebu niambie vizuri, ni mwanafunzi au ndiyo mwalimu "mwenzako"???
 
Hapo kwenye red hapo...Swadakta!!!

yaaah mi huwa naamini ndoa ni kukua pamoja!
kwenye ndoa nyote mnaanza maisha hayo hakuna anayejua kumzidi mwenzie!
chukua mikono yako miwili thn ichanue halafu fanya kubananisha ,pale zinapokutana na kutengeneza kma zipu hvi ndio maisha ya ndoa!unajazia mwenzio alikopungukiwa naye anajazia ulikopungukiwa!
mkilimudu hili na mkaweza kumantaina urafiki baina yenu walahi kila siku mtakuwa wapya!
 
Snowhite dada yangu hebu niambie vizuri, ni mwanafunzi au ndiyo mwalimu "mwenzako"???

aahhahahhahahhahhah nimekuelewa!
hapana mie humu nina wanafunzi watatu kuna Asprin asprooo Kaizer na SnowBall a.k.a pacha!hyo unayemzungumzia ni kiranja mkuu wao!
mwalimu mwenzangu ni mdada mmoja hivi manthashau anaitwa gfsonwin ,sawa?
 
Last edited by a moderator:
yaaah mi huwa naamini ndoa ni kukua pamoja!
kwenye ndoa nyote mnaanza maisha hayo hakuna anayejua kumzidi mwenzie!
chukua mikono yako miwili thn ichanue halafu fanya kubananisha ,pale zinapokutana na kutengeneza kma zipu hvi ndio maisha ya ndoa!unajazia mwenzio alikopungukiwa naye anajazia ulikopungukiwa!
mkilimudu hili na mkaweza kumantaina urafiki baina yenu walahi kila siku mtakuwa wapya!

Hahaaaa, bibi harusi mtarajiwa ananiachia ujumbe wa kuondokea hapa arudi akafichwe anasema "ntamtafuta Snowhite private nile darasa"
 
aahhahahhahahhahhah nimekuelewa!
hapana mie humu nina wanafunzi watatu kuna Asprin asprooo Kaizer na SnowBall a.k.a pacha!hyo unayemzungumzia ni kiranja mkuu wao!
mwalimu mwenzangu ni mdada mmoja hivi manthashau anaitwa gfsonwin ,sawa?

What!!??? Na huyu anaeitwa babu?? Anyway, ng'ombe hazeeki maini na darasa halina ukomo
 
Hahaaaa, bibi harusi mtarajiwa ananiachia ujumbe wa kuondokea hapa arudi akafichwe anasema "ntamtafuta Snowhite private nile darasa"

mwambie anakaribishwwa saaaaaan!si unajua kuna zile woman to woman!aniPM tu wakati wowote awe na amani! tena nianze ukali hapa hapa!mwambie kuonana tena mpka jmosi!ala
 
mwambie anakaribishwwa saaaaaan!si unajua kuna zile woman to woman!aniPM tu wakati wowote awe na amani! tena nianze ukali hapa hapa!mwambie kuonana tena mpka jmosi!ala

Hahaaaaa, amekuelewa bana

Tulipata kaofa kidogo kulikuwa na mambo ya kujadiliana pamoja kuweka sawa ndiyo maana kuna wakati pia sikupatikana na kutowatendea haki za "like" mpaka zikadaiwa kwa nguvu
 
Hongera kaka cathode mungu akusaidie katika hatua nyngne ya maisha unayoiendea iwe ya fanaka,amani na furaha tele msalimie sana wifi yetu
 
hongera sana unawatia hamasa wale waliozoea kula kwa kujificha nao wafuate nyayo zako.Be blessed
 
hongera Cathode Rays
Mungu akutangulie
ukamfanye mkeo kuwa rafiki yako
mkumbuke kusali kila uchao
Mkeo wako akukamilishe kama wewe utakavomkamilisha
jifunze kwake kama yeye atakavyojifunza kwako
mpe nafasi zaidi ya kukufahamu
mfanye ajivunie kuwa mke wako
muombee sana aweze kumudu makujumu ya umama!
mkawe na mawasiliano na ridhiko sahihi ndani ya mioyo yenu!
Cathode Rays sina la kuongeza nawe snowhite ahsante sana kwa maneno kwa kaka yetu mungu awabariki !
 
Last edited by a moderator:
MZEE CHUKUA HII MBOLEA KUVUNA VUNA MWENYEWE MKUU

[h=3]Ujuzi katika Ndoa[/h]

Kama wewe ni kizazi cha Adam na Hawa basi suala la ndoa linakuhusu sana na ndoa ni kitu beautiful, Kwani huleta mahusiano ya kutosheleza yanayowaunganisha watu wawili mke na mume.Inapendeza kwamba Mungu amemuumba mtu maalumu kwa ajili yako.10. UJUZI WA KUTATUA MATATIZOKama wanandoa hawana ujuzi wa kutatua matatizo inaweza kusababisha ndoa kuwa ngumu sana hasa miaka 2 ya kwanza katika ndoa.Kuwa na ujuzi namna ya kutatua matatizo katika ndoa ni kufahamu namna ya kuzozana kwa kuelezana ukweli kwa upendo, kufahamu ni wakati gani wa kukaa kimya au kuzungumza.9. UJUZI WA KUMWEKA MWENZI WAKO NAMBA MOJAKumbuka katika ndoa kuna wewe, mwenzi wako na Mungu.Jambo la msingi ni uhusiano wako na Mungu wako (siyo kazi ya Mungu, au kwenda kanisani bali uhusiano wako na Mungu, then mwenzi wako (mume au mke) ndipo wanakuja watoto na mwisho kazi.Kama mke wako anafuata baada ya watoto, mama yako au baba yako au ndugu zako au rafiki zako au TV au Manchester United au chochote kile basi ndoa yako haina jipya na ipo siku mwenzi wako ataona hana maana katika ndoa yenu.8. UJUZI WA KIMAISHANi muhimu sana kila mwanandoa kufanya vitu ambacho vitakuwa msingi wa maisha ya baadae (future) pia kila mwanandoa analo jukumu la kujiuliza ni namna gani anaweza kuwa mwanandoa mwema miaka 10 au 20 ijayo.Kila mwanandoa analojukumu la kujiuliza nifanye vitu gani ili niwe mwenye mvuto hata miaka 10 ijayo.Je, niende shule?Je, nianzishe biashara?Je, nifanyeje kumpa support mwenzi wangu katika kazi zake au taaluma yake?7. UJUZI WA KUSAMEHEANAUnapokuwa kwenye uchumba, mchumba akifanya kitu cha ajabu unaweza ukaachana naye na kumsahau kabisa, hata hivyo kwenye ndoa unatakiwa kusamehe na kusahau sasa hivi.Mwenzi wako anapofanya kitu na kujiona amekosea, atakuomba msamaha Kwani ni kweli yeye ni binadamu na ana mapungufu na hayupo sahihi mara zote.Muda ule ambao unakuwa hutaki kusamehe mahusiano huacha kukua na hudumaa.Kama huna uwezo/moyo wa kusamehe basi kwenye ndoa usiingie; jibakie single milele.6. UJUZI WA KUWA MBUNIFUKwenye ndoa tunaishi pamoja na kuonana kila siku, tunalala pamoja, kula pamoja, oga pamoja nk. Bila kuwa mbunifu kuwa na “fun stuff” ndoa huzoeleka na kuchosha.Tafuta vitu ambavyo mkifanya pamoja vitawafanya kuwa na kitu kipya.Wapo wanandoa ambao akioa au kuolewa basi Hakuna jipya, Hakuna ubunifu kila mwaka vitu ni vilevile, badilika fanya vitu Tofauti kama hujawahi kwenda sehemu fulani nenda na mkeo au mumeo, have fun!5. UJUZI WA MTAZAMO CHANYAJifunze kuwa na mitazamo chanya kwenye tabia za mwenzi wako. Ni kweli kuna vitu unavipenda kuhusu yeye na kuna vitu ambavyo unavichukia kuhusu yeye, hata hivyo ukweli ni kwamba vitu vizuri unavyovipenda kuhusu yeye ndivyo vimekufanya uoane naye na kwamba vina nguvu kuliko vile ambavyo huvipendi kuhusu yeye.Weka mtazamo (focus) kwenye vile vitu ambavyo vinawafanya ninyi wawili kuwa kitu kimoja.Ukimnyoshea kidole kimoja mwenzi wako, basi unatakiwa kujinyoshea vidole 5 wewe mwenyewe.4. UJUZI WA KUJIAMINILazima uamini kwamba ndoa yenu itadumu na Hakuna kitu kinaitwa talaka na talaka haitakubalika.Ni muhimu sana ujiamini kwamba mwenzi wako ( mume wako au mke wako) anakipenda sana kama wewe unavyompenda yeye hata kama haoneshi kwamba anakipenda.Fahamu hivyo na amini hivyo.Kwa njia hii huwezi kuyumbishwa na upepo wa mashaka na hofu wakati kunajitokeza kutoelewana.Kwa njia hii itakuwa rahisi kuirudisha ndoa kwenye mstari.3. UJUZI WA KUJIFUNZAWakati mwingine katika ndoa huwa tunajidanganya sana kwamba tunawafahamu vizuri wenzi wetu hata hivyo baada ya muda tunaanza kushangaa na kujiona tumeoana na mtu ambaye amebadilika sana na Tofauti na wakati ule mnaoana.Hata hivyo kujisikia mume wako au mke wako amebadilia na kuwa binadamua mwingine si Sababu ya kuachana au kupeana talaka.Kama huna ujuzi wa kumsoma au kujifunza kuhusu mwenzi wako basi hukutakiwa kuoa au kuolewa au hukustahili kuoa au kuolewa naye.2. UJUZI WA KUJUA NAMNA WENGINE WANAWAONA/WANAJIFUNZAKama umeoa au kuolewa na unajifanya hujaoa au kuolewa ni kweli dunia na viumbe wake wanakuona ni kweli hujaoa au kuolewa pamoja na umri wako kwenda.Unatakiwa kuonekana wewe na mwenzi wako ni watu wenye furaha na amani na kweli iwe furaha na amani ya kweli siyo fake.Mnatakiwa kuwa na smile la kweli na liwe na kweli si fake.Lazima uwe makini na kufahamu wengine wanawaonaje kama wanandoa na hiyo itakusaidia kujiweka sawa kuhakikisha kunakuwa na kicheko katika ndoa yenu.<!--[if !supportLists]-->1. <!--[endif]-->UJUZI WA NAMNA YA KUGOMBANAHakuna ndoa ambayo wanandoa hawajawahi kupishana au kupingana au kutoelewana au kutokukubaliana katika jambo fulani au tabia fulani.Pia ni muhimu sana kufahamu kila mnagombana au Sababu ya kitu kinafanya kuwe na msuguano.Unatakiwa kuwa na ujuzi wa kufahamu kwamba kugombana kokote kusiwe kwa masaa kadhaa, au siku kadhaa au miezi kadhaa.Pia ni muhimu sana kuangalia namna unabishana au unaongea wakati wa kutokukubaliana na jambo lolote.Pia focus katika kulishambulia Tatizo lenyewe na siyo mwenzi wako​
 
KUSALIMIANA ASBH NI VITU MUHIMU MSIAMKE NA KUACHANA KAMA MMEOKOTANA SOKONI MKUU NAKUAMINIA KWA HILI HATA KAMA NI SAA KUMI USIKU MWAMSHE MWAGE UJALALA NA GOGO BANA WENGI VITU VIDOGO VINATUFANYA KUPATA PESA ZAO KUWASAIDIA MAHAKAMANI WAKATI HUO HUO TUNAKULA NA UPANDE WA PILI WA MKE KUMPA MOYO SO SIO VIZURI KWA HILI MAWAKILI ATUKO KWA AJILI YA NDOA TUNAKULA HELA ZA MAFISADI NA WENGINEO TEEH TEEH
Je, ni muhimu wanandoa kusalimiana mnapoamka asubuhi?Kwanza fahamu kwamba wanandoa wanapokaa muda mrefu baadhi ya vitu huanza kuchakaa kimapenzi. Hata hivyo upendo na wema husaidia kurudisha moto wa mapenzi na wanandoa kujiona wapya kila umri unavyozidi kuongezeka.Matendo yanayoonesha wema kwa wanandoa ni gundi inayoshikisha wawili kujiona wapo karibu na moja ya tendo la wema ni kumsalimia mwenzako wakati mnaamka hata kama mmelala kitandani kimoja na hata mlikumbatiana usiku mzima au ulimuweka mwenzi wako kifuani usiku mzima.Anayesalimiwa hujiona anapendwa, ana thamani na pia appreciated. ++++++++++++++++++++++++++Tupo kwenye new millennium kiasi ambacho watu tupo busy hata kuamka tunahitaji kuweka alarm ituamshe hata hivyo badala ya kukimbia bathroom kuoga ni muhimu kumpa kwanza salamu mwenzi wako ndipo uendelee na kazi zingine au na ratiba yako.Tafiti zinaonesha wanandoa ambao husalimiana asubuhi wanajiona ndoa yao ni nzuri sana na wana mahusiano yanayoridhisha.++++++++++++++++++++++++++++++++Je, nini kinafanya maneno ya salaamu ya asubuhi kuwa muujiza katika ndoa na mahusiano?Unapomsalimia mwenzi wako maana yake unamwambia na kumpa ujumbe kwamba ni asubuhi njema tumeamka pamoja katika upendo na furaha na kwamba unajisikia vizuri kuanza siku mpya na mtu wako na pia unaweza msingi mzuri wa mawasiliana kwa hiyo siku mpya

​
 
UBUNIFU NAO NI M UHIMU KWENYE NDOA MKUU UITAJI KUNITUMIA HELA KAZI YAKO IKIENDA VYEMA KWA HILI KUMBUKA KUTOA SHUKRAN KWA MUNGU MKUU

Katika ndoa sex ni kitu kizuri kinachowafanya wanandoa kuwa mwili mmoja kwa maana ya kuwaleta karibu.Jambo kubwa ambalo huleta raha ya kiwango cha juu kwa wanandoa wakati wa tendo la ndoa ni suala la kufika kileleni (orgasm)Kila mwanandoa anaweza kufika kileleni Ingawa si kila mmoja, kufika kileleni kwa wengine si issue rahisi hasa kwa wanawake Ingawa kwa wanaume ni kitu rahisi hata kitendo cha mwanaume kuwa na penetration na kuingia kwa mke wake basi anaweza kujikuta anafika kileleni, Ingawa hilo haliwezi kumfanya mwanamke kufika kileleni.Kufika kileleni ni nini?Ni kitendo cha kufikishwa juu kabisa katika raha ya sex, msukumo wa kiwango cha juu wa raha ya tendo la ndoa ambalo huishia kumwacha muhusika ajisikie yupo relaxed na mwepesi. Kwa mwanamke kufika kileleni huwa kwa sekunde kadhaa ambazo huendana na kujisikia relaxed na msukumo wa kutamani kama kunyanyuka ili kupokea kitu au kutoa hata hivyo kama mwanamke ataendelea kusisimuliwa huweza kujikuta anafika kileleni tena Ingawa hii ni kwa wanawake wa umri fulani.Je kuna aina ngapi za kufika kileleni kwa mwanamke?Kimsingi kuna aina mbili za mwanamke kufika kileleni na hizi aina zinajikita kutokana na aina ya msisimko anaoupata (stimulation).Kwanza ni kifika kileleni kwa njia ya kusisimuliwa kisimi chake (clitoral) kwa mwanaume kukisisimua kwa kuchezea kwa njia Tofauti anazozijua au wanazoelekezana wakati wa tendo la ndoa.Pili ni kufika kileleni kwa njia ya uke (vaginal) na hii mara nyingi hutokea kutokana na mwanaume kuingia na kutoka kwa mawimbi huku akigusa eneo la G-SpotUzuri ni kila aina ya kufika kileleni ina ladha yake na wanawake wenye uzoefu wa hizi aina wanafahamu Tofauti yake.Ni wanawake wachache sana hufika kileleni kwa kitendo cha Mr. Happy kuwa ndani ya uke hata hivyo ni rahisi mwanamke kufika kileleni kwa kuchezewa kisimi/kinembe chake kwa namna zote (touching/rubbing or kissing)Je, ni milalo ipi husaidia mwanamke kufika haraka kileleni?Kwanza ni ule wa mwanamke kuwa juu ya mwanaume na pile ule wa mwanamke kulala kwa tumbo lake na mwanaume kumuingia kwa nyuma.Je ni mambo gani yanaweza kuathiri mwanamke kufika kileleni?KWANZAMara ngapi mwanamke anapata sex, ili mwanamke kufika kileleni anahitaji kuwa na sex ya mara kwa mara (use it or loss it). Mwanamke anapokaa kwa muda mrefu bila sex ndivyo anakuwa mgumu kusisimka na mgumu kufika kileleni period.PILILazima mwanamke awe relaxed na hana stress au tension. Ili mwanamke apate raha ya mapenzi ni lazima awe comfortable na mazingira yaliyopo na pia mahusiano au ndoa yake bila trust na mwenzi wake mwili unajifunga na ngumu kufungua.TATU:Hii inamuhusu mwanaume ambaye anahusika na huyu mwanamke anayetakiwa afike kileleni Kwani anatakiwa kuwa caring na anayefahamu kumsisimua mwanamke asisimke kiasi cha kutosha na kumsaidia kufika kileleni kwa kusoma upepo unavyovuma.Pia ni vizuri kwa mwanamke mwenyewe kujitambua na kufahamu mwili wake vizuri na zaidi kushirikiana na mume wake kuwa wazi kumweleza kile anaona kinampa raha na kitapelekea kufika kileleni.Je, unahitaji sex inayosisimua katika ndoa soma hapa​
 
ADDITION:
Nilisahau kuandika hapa lakini nimekumbushwa kufanya hivyo, the same date itakuwa ni birthday yangu nikifikisha miongo mi-3 kamili ..... Kei zitaliwa 2 , birthday na ile ya Harusi...Karibuni sana
Hongera...! Kwa kula Kei mbili kwa wakati mmoja...!
 
Mkuu PDiddy Ahsante kwa haya manondo heavy

Ahsante tena na naamini yatanifaa
 
Back
Top Bottom