God is faithful; At last, kwa heri Ubachela

God is faithful; At last, kwa heri Ubachela

Ki ukweli nisipogongalike kwenye thread kama hii sio to Mungu (the Lord and Master of generosity atakaenishangaa hata shetani mwenye atanishangaa

Thank you so much Snowhite na hapa sasa naelewa kwa nini kuna mwana Jamvi hapa alisema unafaa kuwa mwalimu wa Kitchen Party.....au ndiyo mfundaji wa kijiji nini?
hapa sasa mwake!
ngoja nikwambie!mi hakuna kitu nafurahi kama mtu akiwa na amani na penzi alilomo!
na huwa naumia sana pia mambo yakiwa fyongo
kwa hiyo kushare uwezo na mapungufu yangu najua kuna watakaojifunza na kubadilisha mahusiano yao kama ambavyo na mi najifunza sana kupitia kusoma post za watu!
 
Haaaaa, snowhite na Mbimbinho naona mmeniamulia cha maukweliii
Nilijibu hapo juu nikasema nilitoka kidogo kwa hiyo ninachofanya ni kusoma kila moja na zenye kujibu nijibu then nitulie nigonge like kwa kila nitakayoona iko okay
Nina uhakika wakati unaandika post hii si ajabu ungeacha na kurudi kwenye notifications ungekuta tayari post unayozungumzia ingekuwa imegongwa like
By the way, I real appreciate you people

Mkuu hapa hatujakuamulia, tunaweka mipango fresh ili kama vipi tuibuke, au unasemaje mamaa snowhite:becky:
 
Last edited by a moderator:
hongera Cathode Rays
Mungu akutangulie
ukamfanye mkeo kuwa rafiki yako
mkumbuke kusali kila uchao
Mkeo wako akukamilishe kama wewe utakavomkamilisha
jifunze kwake kama yeye atakavyojifunza kwako
mpe nafasi zaidi ya kukufahamu
mfanye ajivunie kuwa mke wako
muombee sana aweze kumudu makujumu ya umama!
mkawe na mawasiliano na ridhiko sahihi ndani ya mioyo yenu!

Mmmh! hizo nasaha hadi unanifanya nianze kufikiri mbaaaaali:glasses-nerdy:
Kazi kwako Cathode Rays
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hapa hatujakuamulia, tunaweka mipango fresh ili kama vipi tuibuke, au unasemaje mamaa snowhite:becky:

mh!ahahahhahahhahahhah ushaona fursa ya ujasiriamali hapo enh ahahahahah hufai kabisa wewe!

Hahaaa, mnataka kuja "kuwekeza"......ila "Vigezo na Masharti kuzingatiwa"

Karibuni sana maana as I said before, I never get tired of learning na kwa kuwa napenda kuwa mwenye furaha siku zote, happy family is my dream, karibuni sana
 
Yeah!
I give you my congrats for i believe committed marriage comes after a very long time decisions peruzal, and this is the last decision of yours, and that you will never forget in your life history!!
Wish you goodluck!!
 
mh!ahahahhahahhahahhah ushaona fursa ya ujasiriamali hapo enh ahahahahah hufai kabisa wewe!

Hahahahaaa., hapana bana, si unajua kuplanirovat mambo mambo ili mkuu [MENTION]Cathod[MENTION]e Rays[/MENTION][/MENTION] awe na amani ya moyoni...:violin::violin:
 
hapa sasa mwake!
ngoja nikwambie!mi hakuna kitu nafurahi kama mtu akiwa na amani na penzi alilomo!
na huwa naumia sana pia mambo yakiwa fyongo
kwa hiyo kushare uwezo na mapungufu yangu najua kuna watakaojifunza na kubadilisha mahusiano yao kama ambavyo na mi najifunza sana kupitia kusoma post za watu!

Snowhite, I deeply appreciate everything you said...

Lengo langu la kuanzisha thread hii sio tu kutoa taarifa lakini ni kama "kichokozeo" ha kufanya wenye uzoefu mbalimbali (negative and positive) ku-share experiences zao ambazo nitapata zaidi ya kujifunza

Unajua pamoja na mafundisho tunayopata kanisani na kwa wazazi lakini bado kusikia kwa watu waliopevuka kama wa JF ni content nyingine ambayo siyo ya kupuuzia

Wifi/shemeji yenu yuko hapa tunasoma wote na kwa kweli amesoma ulichoandika Snowhite na amekubali ......

ila anasema hataki itambulike maana ikitambulika huenda ikaathiri watu wengine kwenye mawasiliano yake ndani ya JF
 
Zitatiliwa maanani hasa kwa kuzingatia zinatoka kwa "mzefu wa zaidi ya miaka 10" wa familia yenye furaha
kwa kweli!
sijawahi kujuta kuolewa na mume niliyenaye!
maisha ya ndoa kwangu yamekuwa ni zaidi ya darasa ambalo najifunza,nakosea,napatia,napongezwa,nakosolewa,narekebishwa.na hakika sioni hiyani nikimtakia mwingine baraka
 
Hahaaa, mnataka kuja "kuwekeza"......ila "Vigezo na Masharti kuzingatiwa"

Karibuni sana maana as I said before, I never get tired of learning na kwa kuwa napenda kuwa mwenye furaha siku zote, happy family is my dream, karibuni sana

Hapo kwenye vigezo hata usiogope, though we'll try to stretch them a bit:glasses-nerdy:

wapi mwaya?
siku ya harusi yako?

Walaaaa! huko mimi bado bado kwanza..
Acha nisiseme tu.,
 
Snowhite, I deeply appreciate everything you said...

Lengo langu la kuanzisha thread hii sio tu kutoa taarifa lakini ni kama "kichokozeo" ha kufanya wenye uzoefu mbalimbali (negative and positive) ku-share experiences zao ambazo nitapata zaidi ya kujifunza

Unajua pamoja na mafundisho tunayopata kanisani na kwa wazazi lakini bado kusikia kwa watu waliopevuka kama wa JF ni content nyingine ambayo siyo ya kupuuzia

Wifi/shemeji yenu yuko hapa tunasoma wote na kwa kweli amesoma ulichoandika Snowhite na amekubali ......

ila anasema hataki itambulike maana ikitambulika huenda ikaathiri watu wengine kwenye mawasiliano yake ndani ya JF
kwanini?ila naweza nikamwelewa kwa nia nzuri tu mfano mie mume wangu ni mwana JF,na anajua ID yangu vizuri tu!huwa ananiambia the same thing!anyways wakati fulani ni sawa!
 
kwa kweli!
sijawahi kujuta kuolewa na mume niliyenaye!
maisha ya ndoa kwangu yamekuwa ni zaidi ya darasa ambalo najifunza,nakosea,napatia,napongezwa,nakosolewa,narekebishwa.na hakika sioni hiyani nikimtakia mwingine baraka

Hapo kwenye red hapo...Swadakta!!!
 
hongera sana na Mungu akujaalie upendo,furaha, amani, mapenzi ya dhati na uaminifu, kizazi chema, na kila la kheri kwa mapenzi yake Allah...Inshaallah!!
Wapendwa wana familia wa JF,

Napenda kuchukua nafasi hii kwanza kumshukuru Mwenye enzi yote kwa maisha yangu yote nilipokuwa kwenye kambi ya mabachela kwa miongo mitatu iliyopita

Hatimaye sasa imetosha na zimebaki siku 5 tu kuagana rasmi na kambi hii ya mabechela pale ambapo tarehe 24/11 nitakapomwaga wino rasmi kujiunga na kambi ile nyingine
Dua zenu na sala zenu kwa safari hii mpya itakayoanza Jumamosi ijayo
Mambo yote ni kwenye Jiji la Tanga.

Nina complementary kwa wandugu wa familia hii ya JF wawili (2) ambao watakuwa tayari kuhudhuria na wanaweza kufanya hivyo kama wawakilishi wa familia hii. Kwa bahati nzuri sote ni members wa JF (tafadhali, love connect haihusiki na tumefahamu lately kuwa ni members) na tumeona ni vema tukitoa nafasi hizi mbili kwa wanafamilia wenzetu

Atakayekuwa kwenye nafasi please ni-PM and will further communicate

Glory to God and Many blessings to you all

ADDITION:
Nilisahau kuandika hapa lakini nimekumbushwa kufanya hivyo, the same date itakuwa ni birthday yangu nikifikisha miongo mi-3 kamili .....Kei zitaliwa 2, birthday na ile ya Harusi...Karibuni sana
 
Mbimbinho mbona unataka kumtilia mtimanyongo "Mwalimu" wangu wacha bana

ahahahahahhahah haya bana!ngoja nikuitie mwanafunzi wangu mmoja hivi tuone anasemaje kuhusu hili Kaizer will yu please come forward?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom