God is faithful; At last, kwa heri Ubachela

Cathode Rays

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
1,738
1,250
Wapendwa wana familia wa JF,

Napenda kuchukua nafasi hii kwanza kumshukuru Mwenye enzi yote kwa maisha yangu yote nilipokuwa kwenye kambi ya mabachela kwa miongo mitatu iliyopita

Hatimaye sasa imetosha na zimebaki siku 5 tu kuagana rasmi na kambi hii ya mabechela pale ambapo tarehe 24/11 nitakapomwaga wino rasmi kujiunga na kambi ile nyingine
Dua zenu na sala zenu kwa safari hii mpya itakayoanza Jumamosi ijayo
Mambo yote ni kwenye Jiji la Tanga.

Nina complementary kwa wandugu wa familia hii ya JF wawili (2) ambao watakuwa tayari kuhudhuria na wanaweza kufanya hivyo kama wawakilishi wa familia hii. Kwa bahati nzuri sote ni members wa JF (tafadhali, love connect haihusiki na tumefahamu lately kuwa ni members) na tumeona ni vema tukitoa nafasi hizi mbili kwa wanafamilia wenzetu

Atakayekuwa kwenye nafasi please ni-PM and will further communicate

Glory to God and Many blessings to you all

ADDITION:
Nilisahau kuandika hapa lakini nimekumbushwa kufanya hivyo, the same date itakuwa ni birthday yangu nikifikisha miongo mi-3 kamili .....Kei zitaliwa 2, birthday na ile ya Harusi...Karibuni sana
 
SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,262
2,000
Hongera sana CR. Mungu akujalie maisha ya furaha katika maisha mapya ya kujenga familia. Halafu umesema eti uligundua mwenzio naye ni member huku JF? Mtaendelea na uanaJF au mtaacha? Ninakuomba utumwagie mapicha ya harusi kwenye JF Photos.

Kwa mara nyingine tena Congratulations!
 
Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,399
1,250
Mkuu nakutakia kila la kheri katika maisha yako mapya ya ndoa.
Nakukaribisha kwenye chama letu la wanandoa, chama ambalo linazidi kukua kila uchao.
linazidi Kukua?
Tathmini Yako Haiendani Na Ukweli,Ktk Ndoa 2 Zinazoungana, Nyuma Kuna Ndoa 8 Zinashindwana Na Kutengana!
Sasa Kuzidi Kukowapi Hapo Mkuu?
 
Thanda

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,915
0
Cathode Rays, ukipata muda naomba ujiongeze pale kwenye ile thread "Orodha ya Walio-oa/Olewa humu JF" otherwise... congrats.
Wapendwa wana familia wa JF,

Napenda kuchukua nafasi hii kwanza kumshukuru Mwenye enzi yote kwa maisha yangu yote nilipokuwa kwenye kambi ya mabachela kwa miongo mitatu iliyopita

Hatimaye sasa imetosha na zimebaki siku 5 tu kuagana rasmi na kambi hii ya mabechela pale ambapo tarehe 24/11 nitakapomwaga wino rasmi kujiunga na kambi ile nyingine
Dua zenu na sala zenu kwa safari hii mpya itakayoanza Jumamosi ijayo
Mambo yote ni kwenye Jiji la Tanga.

Nina complementary kwa wandugu wa familia hii ya JF wawili (2) ambao watakuwa tayari kuhudhuria na wanaweza kufanya hivyo kama wawakilishi wa familia hii. Kwa bahati nzuri sote ni members wa JF (tafadhali, love connect haihusiki na tumefahamu lately kuwa ni members) na tumeona ni vema tukitoa nafasi hizi mbili kwa wanafamilia wenzetu

Atakayekuwa kwenye nafasi please ni-PM and will further communicate

Glory to God and Many blessings to you all
 
Thanda

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,915
0
linazidi Kukua?
Tathmini Yako Haiendani Na Ukweli,Ktk Ndoa 2 Zinazoungana, Nyuma Kuna Ndoa 8 Zinashindwana Na Kutengana!
Sasa Kuzidi Kukowapi Hapo Mkuu?
Hapa naona kati ya hizo 8 zinazoshindwana na yako imo, pole sana Mkuu ila zetu zinaendelea kuimarika.
 
sifongo

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
4,809
2,000
Hongera mkuu, umeamua jambo jema.......nakuombea kila la kheri Mungu awatangulie daima, nakuhakikishia furaha ya maisha utakayopata utajiuliza kwanini hukuoa mapema......congrats bro.
 
Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,399
1,250
Cathode Rays, ukipata muda naomba ujiongeze pale kwenye ile thread "Orodha ya Walio-oa/Olewa humu JF" otherwise... congrats.
Huu Ni Ubaguzi Jamani!..Vipi Kuhusu Orodha Ya Watu Kama Sisi (tusio-oa)?
 
Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,399
1,250
Hapa naona kati ya hizo 8 zinazoshindwana na yako imo, pole sana Mkuu ila zetu zinaendelea kuimarika.
Haya Mkuu!
Ila Nilikuwa Natanabaisha Jinsi Gani Ninyi Mnavyozidi Kupungua Na Mlivyo wachache Sasa!!
Hongera Kwako!!
 
Thanda

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,915
0
Haya Mkuu!
Ila Nilikuwa Natanabaisha Jinsi Gani Ninyi Mnavyozidi Kupungua Na Mlivyo wachache Sasa!!
Hongera Kwako!!
Mkuu Majigo, kuna thread yenu mdau mmoja aliianzisha siikumbuki vizuri, ila wadau wengine tukumbushane au mwanzilishi. Yeye mwenyewe alikuwa single, Kongosho akaumiza mbavu zangu kwa kuwa "triplex", mimi "I am the luckiest man on earth" na wengine wengi..Nadhani hiyo itakufaa sana. Ngoja nimuulize lara1
 
Top Bottom