Goal Keeper rules...

Vipi ukiishi na mwanamke asiye na kazi wala elimu say maximum form iv... Inakuwaje?

ebu peleka ushamba wako huko... Hata kama hana elimu utashindwa hata kumfungulia hata biashara na yeye achakarike kama wanawake wenzake? Mwanaume kukaa na goal keeper ni kupenda kwake mwenyewe. Wanawake tunapenda sana maendeleo wewe mwenye mke goal kper hebu muwezeshe mkeo huone maendeleo jinsi yatakavyokuja kwa kasi ndani ya nyumba.
 
Vipi ukiishi na mwanamke asiye na kazi wala elimu say maximum form iv... Inakuwaje?

Hivi siku hizi kidato cha nne hakina vigez vya elimu eenh!!! maana naona katika sentensi hiyo kidato cha nne kimetumika kama mfano kiwango cha elimu aliyonayo mwanamke asiye elimika.
Anyway baada ya utangulizi huo labda nirudi kwenye mada husika kwa mujibu wa swali la msingi.
Mkuu mleta mada kwanza naona umeweka mawazo yako nusu nusu, kama ni uamuzi wa kuishi na mwanamke mwenye kigezo chochote anao yule mwenye uhitaji na mwanamke husika.
Sasa unapotuuliza sisi inakuaje, ni wazi hutapata jibu la aina moja kwa kuwa matakwa yetu hayalingani na vigezo tunavyovitazama kwa mwanamke ni dhahiri havilingani.
 

well said
 
Haha we c umetaka golikipa ili kukwepa inferiority complex xaxa wakimbia nn?jiandae kuwa sole provider hapo nyumbani
 
kazi yake moja tuu....kuchukuwa magoli yangu ya kikubwa
 

halafu mie nakupendaga...well said
 

Umenena kweli kabisa mkuu, golikipa ni yule anayekaa tu na kusubiri kuletewa na kufanyiwa kila kitu anasubiri kudaka tu! Hivyo sio vyema kumuita mwanamke tena mkeo 'golikipa' wakati anammka mapema kuliko wewe na kukuandalia vyote unavyohitaji, pia ukirudi unakuta mambo yote yako sawa! Mke daima ni 'straika'! anayebisha amsafirishe mkewe hata wiki mbili tu ili yeye ndio abaki na familia, kama hajapiga simu kila saa kuulizia anarudi lini!
 
I thought a wife is someone you love.....kumbe na hili limo eeeh!!!kila la heri mkuu......

mie nashangaaga ata kule love connect,vigezo vilivyo common ni ajira na elimu,sasa wakioana wasomi kukawa na ushindani humo ndani wanaanza kutafuta nyumba ndogo,na asilimia kubwa za nyumba ndogo hazijasoma wala kuwa na ajira,ndio hapo mwanaume anajisikia kumtawala huyu mwanamke
 
Typical goal keeper: If she is not busy atakusumbua sana (msomi or not). She will live her life through you hivo atataka kila kitu unachofanya umshirikishe. Kitu kidogo kama mbwa wa jirani kubweka akipita kitakuzwaaaa maana ndio only action. Pia atashinda mtandaoni on social media inventing an alter life.
Awe busy hata with charity, ajiunge na kamati wa wazazi shuleni kwa watoto, it will help. Otherwise ataboreka sana.

Of course sio wote, kuna exception
 

& Nimependa ushauri wako mkuu....
& Nitumie nafasi hii pia kuwaomba radhi walioguswa kivingine na neno "goalkeeper"... sikuwa na nia ya kudharirisha.. Nimesamehewa???....
& Huyu mdada hana kazi, hapendi kujiendeleza, hapendi kujifunza chochote kinachofanana na kuingia darasani, kesha pewa mtaji wa milioni umeisha, laki 4 imeisha etc, ila anapenda kufanya biashara but kama nyota yake sio hiyo vile, anajua kwamba mume ndio kapewa kazi ya kula kwa jasho hivyo hii ya kufanya kazi haimpi tabu, ana house girl, anasali sana, sio mwingi wa habari, ana moyo wa uchungu sana,

&Nawapenda sana ninyi ubavu zetu.
 
umeona eeeh!
yeye kama anampenda aoe tu
watapimana uwezo wa kudaka mashuti huko huko
wanaume wa ziku hizi wanashobokea degree while mama zao wameishia la nne na wamewalea vizuri.kwanini wanashindwa kujifunza toka kwa wazazi wao.mi nakosa mume kisa sina degree ujue.
 
yaani anataka kula kulala tu ?
 
una utani eeh, iv unasema hajasoma,
mama yako amesoma hadi la ngapi.

wenzio wanaoa hana hata darasa moja anamwendeleza
hadi anafika chuo, wewe unasema huuuuuuuuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…