Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,644
- 79,055
..kaka wewe ni Dj mwenzangu leo...ila usijari nakugongea NGOMA yako..ngoja iiishe hii ya Kul and the Gangmtu chake naomba wimbo wowote wa Yvone Chaka Chaka
..kaka wewe ni Dj mwenzangu leo...ila usijari nakugongea NGOMA yako..ngoja iiishe hii ya Kul and the Gang
teh teh teh Mr Rocky kajisahau jamani kua ni miongoni mwa maDJ
Naomba twist yoyote iwafikie CUTE, BAGAH, Saint Ivuga, Mr. Rocky, Madame B, Kaizer, Remmy, beibe nasty, Kongosho, The secretary, Judgement, @Smilling Saint, BADILI TABIA, Young_Master, bila kuwasahau Bishanga @Aspirin, na pacha wake klorokwini FirstLady1
UJUMBE: Tukumbukane kupitia chit chat kwani haina mpinzani hapa JF..................
Naomba twist yoyote iwafikie CUTE, BAGAH, Saint Ivuga, @Mr. Rocky, Madame B, Kaizer, Remmy, beibe nasty, Kongosho, The secretary, Judgement, @Smilling Saint, BADILI TABIA, Young_Master, bila kuwasahau Bishanga @Aspirin, na pacha wake klorokwini FirstLady1
UJUMBE: Tukumbukane kupitia chit chat kwani haina mpinzani hapa JF..................
et dada Remmy kuna sehem kwny twist wanaimba hv "hata sisi wanyama wa msituni, tunaipenda na kuimba" hv ina maana wanyama wa msituni ni akina nani?
naomba wimbo wa im in love with a DJ NA THANK U MR.DJ FOR PLAYING MA SONG WA CHAKACHAKA umfikie dj
Wewe! Si nilikukataza kumeza moshi wa bhange? Husikiagi ukiambiwa! Haya!