..gloove back time..

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
hahaaa. . . twist inanikumbusha mbali kweli. kuna uncle angu aliicheza kwenye harus ya mwanae baada ya muda akafariki ikabak kumbukumbu. yan kila mwana ukoo akisikia twist anamkumbuka!
 
et dada Remmy kuna sehem kwny twist wanaimba hv "hata sisi wanyama wa msituni, tunaipenda na kuimba" hv ina maana wanyama wa msituni ni akina nani?
 
Last edited by a moderator:
et dada Remmy kuna sehem kwny twist wanaimba hv "hata sisi wanyama wa msituni, tunaipenda na kuimba" hv ina maana wanyama wa msituni ni akina nani?

Hahahaaaa........
Mmmmh hapo sijui.........
labda kunogesha wimbo......
Sisi wanyama wa mwituniiiiiiii......
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom