Girlz..be smart bana....

UGUMU WA MAISHA NDIO CHANZO CHA YOTE! Wanawake hawataki mzaha kabisa!
siyo mvulana anakusemesha kidogo tu unakimbilia"nioe".kwani unafikiri kuolewa ndo kila kitu duniani?kwani lazima boyfriend wako akuoe?kwanini usimchukulie kama friend tu?mwenzio siwaelewi.mia
<br />
<br />
 
Na nyie wanaume muwe wawazi. Mwambie mdada wakati unamfata &quot;am not a husband material, infact it never crosses my mind even once, so please dont make assumptions or try anythng funny to bring up something called marriage!&quot; then muulize &quot;can u be my girlfriend now?&quot; ili asiwe na ma expectations makubwa!
sisi tuongea kwa vitendo lakini nyie mnajifanya hamvioni eti mnavumilia.unavumulia nini?.nmekuoa?mia
 
UGUMU WA MAISHA NDIO CHANZO CHA YOTE! Wanawake hawataki mzaha kabisa!
hapana sio ugumu wa maisha.wenyewe wanasema kwamba wanataka kuondoa gundu.na ukimuoa ndo kabisaa utafikiri umemvutisha bangi.vituko ndani ya nyumba haviishi.hata maji bafuni kukupelekea ananuna,kupiga pasi nguo ananuna,usichelewe kurudi nyumbani ananuna.yaani ili mradi vituko.mia
 
kwa hyo mwanamke anaedai ndoa sio smart? ME NADHANI KILA UHUSIANO BAINA YA MWANAMKE NA MWANAUME MALENGO YA AWALI YALIKUWA NI KUTENGENEZA NDOA. Ila cku hz....mwee...
 
kwa hyo mwanamke anaedai ndoa sio smart? ME NADHANI KILA UHUSIANO BAINA YA MWANAMKE NA MWANAUME MALENGO YA AWALI YALIKUWA NI KUTENGENEZA NDOA. Ila cku hz....mwee...
mimi siwezi kukutana na wewe mala ya kwanza nianze kuwaza kuhusu kukuoa.ntawaza kukujengea picha ya utamu kabla ya yote.kufanya mapenzi lazima ndoa majariwa.mia
 
hata ukimwambia hakuelewi.anakuambia eti atakusubili hadi utakapo amua kuoa.au anakuuliza kwa hiyo hutaoa?kama ninatatizo niambie nijirekebishe,mimi nataka wewe unioe.please sweetie...!!,umekubali mme wangu..!!??huku amekulalia kifuani.unakosa jibu sahihi.mia
<br />
<br />
hahaaaaa wewe mdhaifu MIA
 
Waache maisha ya show hawatamegwa ovyo. Sometime gia tunazoingia nazo hutufanya tusepe maana huwezi kumaintain standard flani flani . naazima mkoko, gheto maisha ya steers kumbe choka mbaya, unajivua ghamba unarudi kwenye maji unayoweza ogelea.
 
so akikuambia hvo unakosa jibu,u hv to smart first b4 telling others to be smart!hapo hapo unatakiwa umweleze ukweli ila so kwa lugha chafu,mueleweshe atakuelewa but kukosa jibu sahihi n kukosa msimamo wa maamuz yako!waboy achen kucheza na feelings za watu
 
wengi wanakimbilia kutaka ndoa pasipo hata kufanya maandalizi yao binafsi kwa vile wanachukulia kama fashion lakini hawana uelewa kwamba itawasumbua
 
Waache maisha ya show hawatamegwa ovyo. Sometime gia tunazoingia nazo hutufanya tusepe maana huwezi kumaintain standard flani flani . naazima mkoko, gheto maisha ya steers kumbe choka mbaya, unajivua ghamba unarudi kwenye maji unayoweza ogelea.
nikikuona una nywele bandia,sura bandia,lugha bandia,maongezi bandia na mavazi bandia na mimi ntakuja kibandia.mia
 
Waache maisha ya show hawatamegwa ovyo. Sometime gia tunazoingia nazo hutufanya tusepe maana huwezi kumaintain standard flani flani . naazima mkoko, gheto maisha ya steers kumbe choka mbaya, unajivua ghamba unarudi kwenye maji unayoweza ogelea.
sawa kabisa mkuu.umeeleweka vizuri.mia
 
Back
Top Bottom