Girlz..be smart bana....

wengi wanakimbilia kutaka ndoa pasipo hata kufanya maandalizi yao binafsi kwa vile wanachukulia kama fashion lakini hawana uelewa kwamba itawasumbua
ivooo...eeeh!.basi wajirekebishe.wewe una akili sana.mia
 
Kwa maneno mengine ni kuwa unalazimishwa kusema uongo. Kazi kweli kweli!
hata ukimwambia hakuelewi.anakuambia eti atakusubili hadi utakapo amua kuoa.au anakuuliza kwa hiyo hutaoa?kama ninatatizo niambie nijirekebishe,mimi nataka wewe unioe.please sweetie...!!,umekubali mme wangu..!!??huku amekulalia kifuani.unakosa jibu sahihi.mia
 
siyo mvulana anakusemesha kidogo tu unakimbilia"nioe".kwani unafikiri kuolewa ndo kila kitu duniani?kwani lazima boyfriend wako akuoe?kwanini usimchukulie kama friend tu?mwenzio siwaelewi.mia
<br />
<br />
Hahaha kwel JF INAMAMBO.
Ndo Umejibu Posti ya mpenz wako aliyekuwa analalamik juu yako.
Hahah me naipenda Jf mana kuna mengi.
 
Hivi kweli kuna mwanaume anavua pete ya ndoa ili apate kimada. Naona kama ni usemi tu maana in most cases wanaume wenye ndoa wanakuwa na nyumba ndogo huko huko kazini meaning hao wanawake wanajua vizuri kuwa jamaa kaoa. Na kingine kuvua pete kunaongeza ugumu wa cheating kwani unaye cheat nae inabidi ajue status yako ili siri isibumbuluke. labda wanaume watupe experience zao. Have you ever guys tried to remove your ring to get a chick???


Nilikuwa nadhani hamna mwanaume honest kama aliyeoa kwani wanakuwa wazi (explicitly or implicitly) kuwa am 'just passing time with you lady, I have another commitment!'
Hiyo imani yako inakuruhusu kutongoza mwanamke/Mdada wakati una mke/mchumba itakuruhusu tu koa mke zaidi ya mmoja.
Acheni upumbavu nyie wanaume, kama una mke kwa nini unaenda kuhangaika? Wengine hata kama wana pete za ndoa wanadiriki kuzivua wakati wakiwa mawindoni..Ridhikeni na wake zenu Bwana...Aggrrrrrr.........!!!!!!!!!!!!!!!!
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Hahaha kwel JF INAMAMBO.
Ndo Umejibu Posti ya mpenz wako aliyekuwa analalamik juu yako.
Hahah me naipenda Jf mana kuna mengi.
XG kashapata wake yule.mademu utwaweza?siku zote wenyewe wanataka dunia iamin wanaume ndo tuna makosa katika mahusiano.mia
 
ndo gia ya kuwakamua ukitanguliza hilo tu mzigo unabeba ...so akili kicwani ww nenda eti oooh tukamuane tu haf unipotezee utasugua mpaka basi......
 
wanataka kuhakikisha wanakumiliki milele hupendi?
hahahaaaa...mna upendo wa hali ya juu lol.eti wanataka wajiongezee cv.eti ndoa heshima kwani ambao hawajaolewa hawaheshimiki?kuweni real friend basi..!siyo urafiki unaugeuza stand ya kusubili ndoa.mia
 
ndo gia ya kuwakamua ukitanguliza hilo tu mzigo unabeba ...so akili kicwani ww nenda eti oooh tukamuane tu haf unipotezee utasugua mpaka basi......
anaanza hivi;kabla ya yote nipe historia yako ya mapenzi.
unamjibu;
mimi nlikuwa nae lakini hanifai kuweka ndani yule alikuwa wa kuzugia tu.natumia nafasi kukuomba uwe wangu mwandani.
utaskia;subili nifikilie ntakupa jibu.
kesho anakuja getto unachoma kwisha habali yake.
akikuganda unamwambia penzi limechuja skutaki tena.mia
 
anaanza hivi;kabla ya yote nipe historia yako ya mapenzi.
unamjibu;
mimi nlikuwa nae lakini hanifai kuweka ndani yule alikuwa wa kuzugia tu.natumia nafasi kukuomba uwe wangu mwandani.
utaskia;subili nifikilie ntakupa jibu.
kesho anakuja getto unachoma kwisha habali yake.
akikuganda unamwambia penzi limechuja skutaki tena.mia

Aisee kumbe
 
Back
Top Bottom