Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,487
Mimi nimeolewa ndiyo lakini hebu niwaulize swali wanaume hivi kama wanaochina ni wanawake na ninyi hamna shida yoyote kwanini ninyi ndiyo huwa mnayaongelea sana haya mambo kuliko wao wenyewe?Wewe umeolewahuujui uchungu wa mtoto wa kike kuchina nyumbani. Yaani wenzio wanaolewa wewe upo tu. Inachoma kama pasi.
Ndiyo maana mimiks kawauliza kule juu why take panadol for someone else's headache? Ninyi si mnachelewa kuzeeka na kwamba mna uwezo wa kuoa hata wanawake wenye miaka 20 sasa mbona mnasumbuka na hawa wanawake wenye miaka 40? Achaneni nao kwani wanawahusu nini?


