Girls born in 1990

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nigga take it easy nikuulize wewe ambaye ni wa 88 na una wa kwako wa 95 halafu unajaa upepo eti kwanini unaulizwa hilo swali na wa 90 wakati umeshasema hauwezi kuwachukua sasa si uachane nao ubaki na huyo wa kwako wa 95 wewe kinachokufanya uendelee kuwatafuta wengine ni kipi boy are you for real[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Waambie Baby. Au niongezea sauti ?

Japo umetoka nje ya mada kuu iliyopo mezani umeamishia mjadala kwenye issue ya number ya simu. Major Issue hapa ni umri plus being over selective .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…