Gideon Chipungahelo andelea kuwamaliza washiriki wa Miss Utalii!

Mshiriki Miss Utalii Vyuo Vikuu Kanda ya Kati Dodoma 2011 Irene Richard (CBE) akiwa na Gideon Chipungahelo, mwandaaji wa mashindano hayo.

attachment.php
View attachment 42553

Huyu Chipungahelo aliishi kipindi fulani pale Mafinga wakati mama yake akiwa mkuu wa Chuo Cha Maendeleo ya akina mama - Rungemba. Kwa kweli nilichoshangaa kwa familia hii ni pale walipokuwa wakija kujirusha mjini Mafinga akiwa na dada yake na Mama yao Mama Chips ambaye baadaye alikuja kuwa mkuu wa Mkoa Dar. Bila aibu alikuwa akicheza zero distance na dada yake na wakati mwingine akimla denda dada yake. Kwa hiyo anayoyafanya hapo sishangai sana maana nilisha shangaa kitambo.
 
Ipo deep sana!
 
Kumbe ndio maana akabuni Miss Utalii!
 
Gee Chips,
Ongelea hii mambo, ni aibu ktk tasnia ya urembo na sana jina la Utalii
Kama vipi, jiondoe kwenye Urais kwa kashfa hii, ni mbaya
 
Labda kama anegkuwa sio Mtanzania ndio atajiondoa!
Kashfa ipo, na bado mwaka kesho ataandaaa tena!
 
Huyu Chipungahelo aliishi kipindi fulani pale Mafinga wakati mama yake akiwa mkuu wa Chuo Cha Maendeleo ya akina mama - Rungemba. Kwa kweli nilichoshangaa kwa familia hii ni pale walipokuwa wakija kujirusha mjini Mafinga akiwa na dada yake na Mama yao Mama Chips ambaye baadaye alikuja kuwa mkuu wa Mkoa Dar. Bila aibu alikuwa akicheza zero distance na dada yake na wakati mwingine akimla denda dada yake. Kwa hiyo anayoyafanya hapo sishangai sana maana nilisha shangaa kitambo.

Hapo kwenye nyekundu una uhakika? maana huyu dada ni mke wa mtu, na jamaa ni mtua aniheshimu saana alikuwa mwalimu pale DIT aka Dar Tech. Mhe anaiwa Primus. Tuwe wa kweli tusivunje ndoa za watu kwa majungu
 
mi wala simlaumu huyu mzee wa kuwamega anko chips wacha awamalize,,, ila baba na mama ambao watoto wenu wanapitishwa uchi mbele ya umati wa watu eti wanagombania gari,,,,,,

kweli maendeleo ya kizazi hichi ni uchee wa mwanamke badala ya utu wa mwanamke,, mnapitishwa uchi mbele za wanaume mkigombea vi-reconditioned cars,,,,,
 
Well said!
 
Sio kupitishwa uchi tu, na mengine mengi mabaya zaidi wanafanyiwa: wanauzwa kwa ma pedejeeeeee.....
Kuna thread moja ilikuja hapa kuwa wanauzwa Bagamoyo: sasa sijui utumwa umerudi tena?

mmh mabinti zetu???
 
Moja ya fani zenye kunyanyasa wanawake ni hii ya umiss japo wao hawasikii wala hawaoni kisa wanakwenda na wakati kwa kuiga ujinga wa wazungi, figure za kiafrika ni potable wala hazifai kwa umiss wao wanajitesa kwa kutokula ili wawe vifimbo
 
Aibu tupu mkuu!
 
Hapo kwenye 'potable' sijakuelewa mkuu!
 
kudedeki aliwahi kunilia wangu , moved her to trush kiroho safi
 
Back
Top Bottom