Miaka mingapi yupo kwenye uwaziri? hesabu na posho zote. Ukimaliza leta jibu. Miaka mingapi kaanza kuwekeza? kabla ya uwaziri au baada ya uwaziri?
Wacheni usongo.
Membe ni mwizi hakuna ajira ya serikali yenye kulipa kiasi hicho hata kama alianza kazi akiwa na miaka 18!!!
Mbona tuna waona watumishi wengine walianza kazi kabla ya membe na bado wako serikarini tena ni watu wakubwa tuuu....lakini hawana migorofa???
Fisadi sana huyu mropokaji!!
Nenda boko National Housing amejimilikisha nyumba mbili zilizokuwa zimejengwa kwa ajili ya wananchi wa kipato cha chini................yeye kawapangisha watumishi wa Vodacom!!!
Nini hiki! kama sio ufisadi?