Ghorofa la Bernald Membe - Wizi Mtupu

Ghorofa la Bernald Membe - Wizi Mtupu

Hili ni ghorofa linalokamilika kwa spidi la Mh. Bernald Membe pale jirani na VETA Mtwara ambapo pia alitaka kukitwaa kiwanja cha VETA ili apate parking. Hapa anajenga hoteli na sitaki niseme ni ghorofa ngapi we hesabu mwenyewe.

Kwa wale wasiojua fedha zetu walipa kodi zinakokwenda hadi watoto wa shule kukalia mawe darasani kwa kukosa madawati na wagonjwa kulala sakafuni kwa kukosa vitanda basi jioneeeni wenyewe. Wafanyakazi mnaokatwa kodi mlikuwa mnauliza zinakwenda wapi basi jioneeni wenyewe ndio hapa zimehifadhiwa kwenye hili ghorofa.

Mtu akibisha anieleze ana basis zipi kwani mi ninao ushahidi wa hii picha.

attachment.php

Ujenzi ukiendelea wa ghorofa la Bernald Membe: Waziri wa Mambo ya nchi za nje eneo la VETA Mtwara

halafu eti huyu anatafuta awe rais, jizi tupu
 
mwizi mtupu MEMBE HUTUFAI UNAFKI MTUPU BADO APO HAJAWEKA 10% ZA PANGO ZA BALOZI ZETU NJE..FEDHA ZA GHADAFU AMBAZO JANUARY MAKAMBA ALIZISHTUKIA...PESA ZILIZOCHOTWA HAZINA...BADO ZA MABUSINES MEN...TUNAMJUA VIZUR ET UFSADI...KUMBE NDIYE NAMBA MOJA FSADI..KWA MSHAHARA UPI WA KUJENGA GHOROFA
 
Usipoinvest>>> "yule bwana amechezea kweli nafasi. Alikuwa waziri yule, lakini hata kabiashara kadogo kashindwa kuanzisha"
Ukiinvest>>>"Kwa wale wasiojua fedha zetu walipa kodi zinakokwenda hadi watoto wa shule kukalia mawe darasani kwa kukosa madawati na wagonjwa kulala sakafuni kwa kukosa vitanda basi jioneeeni wenyewe."

Si sahihi kumuita mtu fisadi just because ana ghorofa au ni tajiri. Failure yako usiireflect kwa wengine, wewe umeshindwa wenzako wameweza. Usijifariji kwa kuonyesha kuwa wale walioweza, kuweza kwao kumetokana na ufisadi. Primary, wameweza kwa sababu they have something that you dont have, or if you have, you havent been able to make use of.
 
Kushangaa ghorofa la kizamani kama hili ambalo haljakamilika ni majungu na kutumiwa vibaya. Hapa JF majungu kama haya tujitahidi kuyapiga vita kwani yanashusha hadhi ya forum hii. Unaposema hela za kujengea ghorofa hili ni za wananchi, unauhakika? Zikijitokeza bank alizokopa Membe kwaajili ya kujenga jengo hili ambalo bado kabisa kukamilika utasemaje? Wewe utakuwa ni mmoja wa wale maadui zake 11 aliowataja au umetumwa na mmoja wao. Jamani unapomtuhumu mtu lazima ufanye research ya kutosha na sio kukurupuka tu. Ningefurahi siku moja kuona wanaJF tunakuwa wachumbuzi zaidi kuliko kuwa mashabiki na mbaya zaidi wa siasa za maji taka.
 
Kujenga sio tatizo. Tatizo kapata wapi pesa. Labda kakopa au?
Hili ni ghorofa linalokamilika kwa spidi la Mh. Bernald Membe pale jirani na VETA Mtwara ambapo pia alitaka kukitwaa kiwanja cha VETA ili apate parking. Hapa anajenga hoteli na sitaki niseme ni ghorofa ngapi we hesabu mwenyewe.

Kwa wale wasiojua fedha zetu walipa kodi zinakokwenda hadi watoto wa shule kukalia mawe darasani kwa kukosa madawati na wagonjwa kulala sakafuni kwa kukosa vitanda basi jioneeeni wenyewe. Wafanyakazi mnaokatwa kodi mlikuwa mnauliza zinakwenda wapi basi jioneeni wenyewe ndio hapa zimehifadhiwa kwenye hili ghorofa.

Mtu akibisha anieleze ana basis zipi kwani mi ninao ushahidi wa hii picha.

attachment.php

Ujenzi ukiendelea wa ghorofa la Bernald Membe: Waziri wa Mambo ya nchi za nje eneo la VETA Mtwara
 
kijana upo ???karibu magomen polisi nimekuja kumcheck brother papaaa, le grand mupao ,mutu ya pesa ,muzee ya mujini

yaani kajomba mpaka kanatambaa ulipotea sana au ulipata kazi kuandikisha kura za 2015 oooh sor vitambulisho vya uraia?
Mbona nyumba ya kawaida tu hiyo? Kwa miaka aliyofanya kazi nilikuwa nategemea liwe ni gorofa kweli na siyo hako kagorofa hapo.

Kumbukeni siku hizi kuna access ya loans na other financing facilities.
 
nimeifungua hii naf nilikuwa meneja aliwahi kuja ila kuna boya limewekwa pale kupoteza ushahidi
Huyu Membe hiyo ni hotel yake kweli. na ana nyingine iko karibu na standa ya mabasi Mtwara inaitwa NAF BLUEVIEW
Pia pale Lindi anataka kumpora mzee mmoja ile Lindi Oceanic hotel ambayo mzee huyo alinunua kwenye mnada kihalali uliofanywa kwa niaba ya CRDB.

Naogopa hata kumuita Mheshimiwa maana matendo yake huku kusini wala hayafanani na cheo chake. Nasubiri M4C waje kusini niwauzie hili gazeti
 
Kwani sisi watanzania tunapenda Mawaziri wetu wawe wanyonge, omba omba, walale nje? Mi nadhani kama mtu hana matumizi ya ajabu, baada ye utumishi wa muda mrefu anaweza kujijengea kitu kama hicho. Tena kuna mikopo mabenki.
 
fedha za ghadafi hizo ............................huyu jamaa akiwa rais naamia MALAWI
 
Huyu Membe hiyo ni hotel yake kweli. na ana nyingine iko karibu na standa ya mabasi Mtwara inaitwa NAF BLUEVIEW
Pia pale Lindi anataka kumpora mzee mmoja ile Lindi Oceanic hotel ambayo mzee huyo alinunua kwenye mnada kihalali uliofanywa kwa niaba ya CRDB.

Naogopa hata kumuita Mheshimiwa maana matendo yake huku kusini wala hayafanani na cheo chake. Nasubiri M4C waje kusini niwauzie hili gazeti

Huo ni uzushi, Tanzania sio Congo au kule kwenu Somalia ambapo hakuna the rule of law. Hilo unaloliongea halina mantiki yoyote. jihabarishe ndugu
 
Watanzania bwana...mtu kumiliki jengo lenye ghorofa 3 ashakuwa fisadi tayari..siku hizi fursa ni nyingi sana na wala sio jambo la ajabu Membe kumili hilo jengo,acheni unaaa
 
Kama fisadi nyerere wa kwanza itumia hadi jeshi kumjengea nyumba na hela pia. Ningewa hata mimi ningepiga tu
 
Hili ni ghorofa linalokamilika kwa spidi la Mh. Bernald Membe pale jirani na VETA Mtwara ambapo pia alitaka kukitwaa kiwanja cha VETA ili apate parking. Hapa anajenga hoteli na sitaki niseme ni ghorofa ngapi we hesabu mwenyewe.

Kwa wale wasiojua fedha zetu walipa kodi zinakokwenda hadi watoto wa shule kukalia mawe darasani kwa kukosa madawati na wagonjwa kulala sakafuni kwa kukosa vitanda basi jioneeeni wenyewe. Wafanyakazi mnaokatwa kodi mlikuwa mnauliza zinakwenda wapi basi jioneeni wenyewe ndio hapa zimehifadhiwa kwenye hili ghorofa.

Mtu akibisha anieleze ana basis zipi kwani mi ninao ushahidi wa hii picha.

attachment.php

Ujenzi ukiendelea wa ghorofa la Bernald Membe: Waziri wa Mambo ya nchi za nje eneo la VETA Mtwara

Mvumbuzi umenistua haswaa. Hivi nchi hii kujenga ni kosaaa. Ajenge nani iwe halali na wengine haramu. Tusipoangalia tutaishia umbea wa kufuatilia watu na watoto zetu wakifa njaa. Umiza kichwa tumia fursa unazoziona hata kama ni kidogo. Sidhani kama ni tatizo Membe kumiliki ghorofa, hata akimiliki viwanda sawa tu na watakao amua kucheza bao kusubiri mungu ashuke hewala. Tubadilike waTZ, ni sisi tunaotakiwa miliki uchumi wa nchi sio wageni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom