Ghorofa la Bernald Membe - Wizi Mtupu

Ghorofa la Bernald Membe - Wizi Mtupu

halafu eti huyu anatafuta awe rais, jizi tupu

bora BIGWA anae jenga Mtwara kuna wengine wamejenga South inakuwaje???mpw Big.up hoyo mwizi mpaka akamatwe lakini ukiona kimya ni MALIZAKE IZO zina muhusu
 
Tutasikia mengi kuelekea 2015!!Naona Watu wanajipanga.
 
Sioni ubaya wowote wa Membe kujenga Ghorofa Mtwara au mlitaka akazifiche pesa zake kwenye Benki za Switzeland? hapo kwa kujenga hivyo watu wamepata kazi za kujenga(mafundi),suppliers (sementi, nondo, bati/vigae,malori) ikifunguliwa Hoteli watu watapewa ajira. Mi naona Membe we endelea tu kula pesa taratiiiiibu hakuna wa kukugusa. tena ikiwezekana nenda kajenge lingine GETI KUU LA KUINGILIA SERENGETI
 
Membe alishatangaza kuwa mwenye kudai hoteli ni yake au anamiliki hoteli ajitokeze hadharani amtaje kisha yeye ndio atajibu. Kitine hajajitokeza hadharani kujibu hadi sasa. Mimi anachonifurahisha chinga huyu ni kule kujiamini kwake tu.

Sasa changamoto kwako Bw, mvumbuzi nenda pale Maelezo kesho ututangazie kuwa hiteli hio ni ya Membe sisi humu JF tunaweza kukuchangia kwa Mpesa pesa ya kukodisha ukumbi. Usipojitokeza tutaamini nawe ni mmoja wa wale wale.......

Halafu pia inaonesha kuna baadhi yetu humu JF bado tupo nyuma kuhusiana na taaluma ya masuala ya kifedha.Mbona jengo kama hilo pesa za kujengea Akiba,Exim,Azania,CBA na Stanbic wanatoa?ni suala la kujipanga tu si lazima uwe mwizi ndio ujenge jengo kama hilo
 
Na jamaa ndio wanamfagilia awe mgombea urais wa chama fulani 2015! Angejenga hiyo hoteli kule kwake mtama tungesema anawatafutia wana jimbo lake ajira. Angalizo: Viongozi wetu sio waadilifu! Stori za mikopo etc ndio zipo lakini wanaofaidi si waheshimiwa? Angekopa awape/awakopeshe wanakijiji chake tungemwona mkombozi. Viongozi wanatunishiana misuli kwa nani tajiri zaidi!
 
HV mkuu mbona unafanya wana JF ndondocha? HV ni nani asiyejua mshahara wa mawaziri? unataka kusema ni perdiems anazopata kwenye hizo safari za nje ndo zimewezesha kujenga hili ghorofa?. Kuongozana na rais siyo hoja na hauhitaji kujua gharama ya kulijenga ndo mtu atoe comment naomba uelewe hili jumba ni kubwa na ni la kisasa na sas lipo kwenye finishing kwa kwa kiwango tunachoweza kukiita the state of art finishings.

Anachosema Kimbunga ni kama anatukumbusha kwamba huyu jamaa huwa ni vasco da gama na mwenzake JK na kama kawaida wanalipana mijihela mingi kiasi kwamba kujenga hilo ghorofa inakua si issue. Na kama tukishajua maana yake tutakuwa na base ya kujadili pia na huenda tukaenda zaidi kuangalia hizi posho zao na safari wanazofanya kama zina tija kwa taifa au zinatumika kama sehemu za kukuza kipato, mfano mzuri tu kuna ujumbe wa Tz ulienda nje ya nchi kwa siku kumi mpaka mpiga pasi alipata dola 6,800 sasa kwa mtu kama huyu membe atakuwa amevuna ngapi na anakwenda mara ngapi.
 
Last edited by a moderator:
Mbona nyumba ya kawaida tu hiyo? Kwa miaka aliyofanya kazi nilikuwa nategemea liwe ni gorofa kweli na siyo hako kagorofa hapo.

Kumbukeni siku hizi kuna access ya loans na other financing facilities.

kweli ni kagorofa kakawaida sana ukimrank na ya wengine humo ccm, halafu ni kadogo kwa maana kwamba unajua investment kubwa zaidi aliyonayo zaidi ya hako kamoja kalikoonekana mwe! Mungu tusaidie watz
 
Sioni ubaya wowote wa Membe kujenga Ghorofa Mtwara au mlitaka akazifiche pesa zake kwenye Benki za Switzeland? hapo kwa kujenga hivyo watu wamepata kazi za kujenga(mafundi),suppliers (sementi, nondo, bati/vigae,malori) ikifunguliwa Hoteli watu watapewa ajira. Mi naona Membe we endelea tu kula pesa taratiiiiibu hakuna wa kukugusa. tena ikiwezekana nenda kajenge lingine GETI KUU LA KUINGILIA SERENGETI

kama sio amri tu imetolewa wazo cement, alaf, kwa wafanyabiashara wauzao hizo bidhaa za ujenzi. anaweza akawa amepewa bure hivyo vyote, na bado patel mmoja akajitolea ujenzi gharama zote
 
ebanaeeh!kumbe mzee wa mtama naye yumo? halafu kina MMwanakijij wanataka 2mpigie debe awe the prezdaa ,kwel njaa mbaya na pesa haina mwadilifu
 
kama kuna mtu anayo income statement ya Membe atuwekee ili tujue kama anabussiness zinazo muingizia kipato halali au vipi,

SIO KILA ANYEFANYA MAENDELEO NI LAZIMA AWE MWIZI
 
Bigwa ya moro au? Nani huyo anajenga huko kwa kodi za wananchi? Kwa nn unasema bora? Ufisadi ni ufisadi! Ujenge moro au mtwara!
 
acheni majungu Watanzania kama hamjui chanzo cha fedha zilizojenga ghorofa hilo! nampongeza Membe kwa kukumbuka kwao Mtwara! Na namuombea Mungu mradi huu ufanikiwe maana Mtwara inahitaji hotel zaidi ya hii!
 
Mkuu ulitaka aishi kwenye makuti? si bora huyu kajenga hapo wengine wanaojenga Dubai hata muuza cement wa tz hapati senti yake!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom