Gharama za kutoka na Mchepuko

Yaani niliwah jiulizs hili swali πŸ˜€πŸ˜€nikimpa mtu elf 20 lazima ajielezee sana kwakweli ningewezaje
Kwa hali ya mahusiano ya sasa, ungeishia kumaliza sabuni zetu huko bafuni

Wanawake wengi miaka hii wanauishi msemo wa "Mkono tupu haulambwi" na "penye uzia, penyeza rupia"

Bila kutoa kifuta jasho, hakuna Mwanamke utampata πŸ™Œ
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Kumaliza sabuni tena jmn
 
1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000

Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.

Hivi siku hizi imekuwa ni fashion mtu kuwa na mchepuo? Yaani huko nyuma watu waliokuwa na michepuo walikuwa wanafanya siri siri sana ila siku hizi mtu anaona fahari kuwa watu wanajua kuwa ana mchepuo na wapo ambao hata wake zao huwa wanawajuwa machepuo ya waume zao? What is this? Tena kuna na hawa wanawake ambao wamekubali kabisa kuwekwa kama michepuo! Why?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Kumaliza sabuni tena jmn
Ni mwendo wa kumaliza sabuni tu, maana bila hela hakuna mahusiano utapata

Kwahiyo ungekuwa na huo ubahili wa kusikitika ukimpa mpenzi wako 20k, Wala msingeweza kudumu hata Kwa nusu saa 😜
 
Ni mwendo wa kumaliza sabuni tu, maana bila hela hakuna mahusiano utapata

Kwahiyo ungekuwa na huo ubahili wa kusikitika ukimpa mpenzi wako 20k, Wala msingeweza kudumu hata Kwa nusu saa 😜
Huenda ubahili sababu sinaela ningekuwa nazo ningehonga et jamani ningenunua had gari kumpa mtoto wa mtu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000

Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.

Gharama kubwa zaidi ni kutegwa mimba usiyo na Mpango nayo.
 
Huenda ubahili sababu sinaela ningekuwa nazo ningehonga et jamani ningenunua had gari kumpa mtoto wa mtu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kabisa

Ukiwa eneo la tukio, unajikuta unahaidi tu kadri unavyopewa mambo

Baby anakwambia nimechoka kupanda daladala, nawe bila shaka unamwambia Mwezi Ujao nakuagizia Toyota Premio

Baada ya Mwaka mmoja anakuomba umnunulie Kiwanja Madale

Hujakaa sawa, umemtafuta Mkandarasi anaanza kumjengea baby wako nyumba ya Vyumba vinne yenye Kila kitu ndani πŸ™Œ
 
Ina tv humohumo auπŸ˜€
 
Huenda ubahili sababu sinaela ningekuwa nazo ningehonga et jamani ningenunua had gari kumpa mtoto wa mtu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapa umenichekesha! Naungama nilinunuliwa gari ya maana na jamaa. Siyo ajabu
 
1.Usafiri 10,000
2.Chumba Lodge 30,000
3.Chakula + Vinywaji 30,000
4.Asante Kwa Kuja 50,000

Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.

Mijanamke yenye ya siku hizi inapata wapi mda wa kukuombea
 
Yote ya nini hiyo.
Nauli yake 3000
Kula 4500
Gesti Kamwala 5000
Yeye atapewa 7000
Jumla kuu 19,500
Ha po Kuna watu wanafumia chini ya hapo
 
Kwa akili kama hizi, hii nchi inasafari ndefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…