Gharama za kukodisha gari la Harusi

Upo mji gani?Sasa unazungumza bila kutaja location utasaidiwaje?
 
WanaJF naomba kujulishwa gharama za kukodisha gari kwa ajili ya maharusi kwa siku moja ni shilingi ngapi kwa Dar? Aina ya gari Mercedes benz E Class, kwa wenye ufahamu juu ya hili naomba nifahamishwe bei zinaendaje, Asante.



Gari zinakodishwa maalumu kwa sherehe za harusi, kitchen party, send off au hata mtoko wowote ule wasiliana na Prisca kwa namba zifuatazo.....
022 -
2293256 au 0655 550005.Toa taarifa wiki moja kabla ya siku unayohitaji gari.


Source: TUNAKODISHA MAGARI KWA SHUGHULI MBALIMBALI... | Majoy Blog
 
Mcheck Dotnata pia huwa yupo safi na ilikua ukiweka order ya msosi kwake then mkoko unapata Free!!! Yupo pale Riverside kama unatokea ubungo unaingia kushoto. Ana bei maridhawa... Nilimtumia 2009 so kwa sasa sijui kama bado ipo hivyo au kaboresha au keshaharibu. +255715888859
 
Unge post kwenye forum ya matangazo, trust me hili dili watu wangekuchangamkia, infact ungepata hata pachage nzima yaani hata magari ya flower girls, matarumbeta, chakula, nguo, coaster la wavamizi.... You mention it!! Kwa hapa Dar, niliona magari ya kukodi baada ya kituo cha mafuta cha Oilcom maeneo ya Victoria.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom