Hassanmanz
Member
- Dec 31, 2020
- 19
- 15
Habari wana forum kwamajina naitwa Hassan Manz ni mkaz wa Dar es salaam naishi Temeke ninatafuta gari aina ya toyota alphard au vellfire kwajili ya kufanyia kazi iwe kwa mkataba au kwa hesabu nipo tayari nina uzoefu wa kutosha kwenye kazi hizi za kuendesha gari aina hizi
Kwa mawasiliano napatikana kwa namba 0716781346Tigo na 0637664788 Halotel pia kwa email manzhassan9@gmail.com naomba tusisite kuwasiliana kwa boss ambae anagari na inahitaji dereva natumaini nitapata gari ya kazi kwa uwezo wa Mungu Amen