Gharama za Internet bundle zimepanda ghafla!!

Gharama za Internet bundle zimepanda ghafla!!

Samahan hivi hivo vifurushi ndo hivo vya royal bando naje nilzima iwe ya royal au hata ya kawaida ila ukaniunga vile vya royal navo vina ddk 420, 300 halotel na 120 mitandao yote hivi navyo vipo hata kwel laini za kawaida swali langu je navyo internet ya unlimited kwa mwez mzima hata kama zile gb ulizipoewa zikiisha??? Maana naogpa kununua nikijua internet haitafika mwez naomba unitoe wasi wasi jamn natamani kweli nijue ili nianze kuvinunua maana hawa voda siwaelewi kabisa lakini kama elf10 internet unlimited mwezi mzima iko poa una enjoy youtube, kama kawa.
Unlimited za kibongo bongo ni utapeli haswa kwa mitandao kama tigo na voda sina hakika na hao halotel! Utashangaa tu untapomaliza week na nusu unaanza kuambiwa utumie usiku tu au net inaslow au inakata kabisa.

Mi nmehamia Zantel kasi ya 4G unlimited offers
 
Samahan kwa anaejua anijuze mimi nina laini ya halotel ya kawaida je itakuwa na hiki kifurushi cha royal ambacho kina internet bila kikomo mwezi mzima hata gb nilizopewa zikiisha bado utaendelea kuenjoy internet hadi mwezi uishee???? .... hivi hivo vifurushi ndo hivo vya royal bando naje nilzima iwe ya royal au hata ya kawaida ila ukaniunga vile vya royal navo vina ddk 420, 300 halotel na 120 mitandao yote hivi navyo vipo hata kwel laini za kawaida swali langu je navyo internet ya unlimited kwa mwez mzima hata kama zile gb ulizipoewa zikiisha??? Maana naogpa kununua nikijua internet haitafika mwez naomba unitoe wasi wasi jamn natamani kweli nijue ili nianze kuvinunua maana hawa voda siwaelewi kabisa lakini kama elf10 internet unlimited mwezi mzima iko poa una enjoy youtube, kama kawa.
Kama MB's ulizopewa zitaisha sasa itakuwa inatumika nini?
 
Halotel wamekua wezi na majambazi kama Voda tu
Nilikua sh500 napata mb 350 kawaida na mb150 youtube kwa wiki, nilikua nauwezo wa kukaa na kifurushi kwa siku 5 au 4 nikiperuzi sana

Sasa hivi kuperuzi kwangu kulekule lakini simalizi siku mbili napata sms umebakiwa na mb5 dadeq

Yaani naogopa hata kuchungulia insta na browse kawaida lakini mb zinakata kama upepo
Hili kweli kabisa hata mi nimeona... Ukigusa tu mb zinakata [emoji57] [emoji57]
 
Zinapatikana kila mahali maeneo ya minjini... ila speed yake sasa[emoji1787][emoji1787] kufungua tu JF itachukua dakika 10
4G LTE ya TTCL ni sawa na 2G ya Halotel nguvu moja hata 2G ya Halotel inafungua videos za Utube walau 144p,..
 
Zinapatikana kila mahali maeneo ya minjini... ila speed yake sasa[emoji1787][emoji1787] kufungua tu JF itachukua dakika 10
Mbona hajawaji lalamika spid inapiga kazi tu.. Siku za wikiend anastrim mpira dakika 80 bila shida
 
Mbona hajawaji lalamika spid inapiga kazi tu.. Siku za wikiend anastrim mpira dakika 80 bila shida
Haya kazi kwako.. Mimi sitii neno maana nakupa nlichokiona na kukitumia wewe unaniambia ulicho hadithiwa. .
 
Huku nilipo kuna jamaa analaini ya voda wala haweki vocha bt Kila mwezi anapata GB10 sijui ni ofa gani hii,
 
Hivi zile gb 2 za royal bundle zikiisha naweza kustream video kwa quality ya 360p kweli??.
 
Back
Top Bottom