ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,936
- 3,054
Kila kitu mpk kulink ety watu watch u tube [emoji46][emoji46][emoji46] iko hivi ..ZUIA VIDEO NA PICHA UNAPO DOWNLOAD ZISIINGIE WALA ZISIJIHIFADHI KWENYE CM YAKO NA KUIZAJA BALI ZISIINGIE NA KUAA KWENYE SEVER ZA WHATSAPP TU NA SIO KWENYE CM YAKO TAZAMA VIDEO HII LINK [emoji116][emoji116][emoji116]
Jinsi ya kuzuia picha na video za WhatsApp zisijidownload zenyewe automatically maana zinafanya cm yako ijae na kumaliza mb zako bila ww kufahamu na kupenda tazama video hio link
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Zuia au block notification zozote za mitandao mbali mbali ya kijamii kama WhatsApp, fb nk maana zinakera pale unapokuwa unaangalia video au kuchat nk tanzama hii link[emoji116][emoji116][emoji116]
1.fungua whatssap >nenda settings ya whatssap > Data and storage fungua hapo > MEDIA AUTO DOWNLOAD > when using mobile data bonyeza hapo UNTICK zote then OK PIA When using Wifi untick zote then unabonyeza OK ,utakuta kuna tiki then toa TICK ZOTE pabakie wazi namna hii > Baada ya hapo OK .. kazi kwisha