Gharama za Internet bundle zimepanda ghafla!!

Mndwyika.wetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
652
Reaction score
829
Jamani kwa wale mnaotumia VODA, mara ghafla week hii gharama za kununulia vifurushi vya internet bundle zimepanda. Ile bundle ya week ya 5000 Tshs kwa 1gb kwa sasa ni 800mb. JE VODA WAMEAMUA KUTUKOMOA WATUMIAJI ILI KUFIDIA GHARAMA ZA MALIPO WALIYOLAZIMISWA KULIPA ili kumaliza kesi?
 
Faini ya 6 bilioni ni lazima wairudishe haraka.

Jamani kwa wale mnaotumia VODA, mara ghafla week hii gharama za kununulia vifurushi vya internet bundle zimepanda. Ile bundle ya week ya 5000 Tshs kwa 1gb kwa sasa ni 800mb. JE VODA WAMEAMUA KUTUKOMOA WATUMIAJI ILI KUFIDIA GHARAMA ZA MALIPO WALIYOLAZIMISWA KULIPA ili kumaliza kesi?
 
Voda ni wezi tangu zamani ukilinganisha na mitandao mingine, speed ya kuisha kwa bando la mb za voda ni tofauti na mitandao mingine, binafsi huwa situmii mb za voda.

Mfano, unaweza kutumia MB 50 za Voda ku download document moja, lkn ukatumia MB 20 za Airtel ku download document ile ile.
 
nipo na dabo bundle za airtel yaan burdaaaaaan
 
Jamani kwa wale mnaotumia VODA, mara ghafla week hii gharama za kununulia vifurushi vya internet bundle zimepanda. Ile bundle ya week ya 5000 Tshs kwa 1gb kwa sasa ni 800mb. JE VODA WAMEAMUA KUTUKOMOA WATUMIAJI ILI KUFIDIA GHARAMA ZA MALIPO WALIYOLAZIMISWA KULIPA ili kumaliza kesi?
jitoe...
 
Pumbavu hawa, walikuwa wananipa GB1 kwa 1000, superuni sahv wananipa MB500,
 
Jamani kwa wale mnaotumia VODA, mara ghafla week hii gharama za kununulia vifurushi vya internet bundle zimepanda. Ile bundle ya week ya 5000 Tshs kwa 1gb kwa sasa ni 800mb. JE VODA WAMEAMUA KUTUKOMOA WATUMIAJI ILI KUFIDIA GHARAMA ZA MALIPO WALIYOLAZIMISWA KULIPA ili kumaliza kesi?
Sajili tgo 1500 gb2 kwa week
 
Njoo nikupe unlimited internet data bundles kwa mwezi mmoja kwa 15,000 au 25,000 au 45,000/= hapo ni kulingana na speed unayotaka.
 
Hamia tigo 2000 gb 1.2 na msg 5000 na muda kibao wa maongezi kwa wiki 1 au 1500 1gb siku 3 na muda kibao wa kuongea
Jamani kwa wale mnaotumia VODA, mara ghafla week hii gharama za kununulia vifurushi vya internet bundle zimepanda. Ile bundle ya week ya 5000 Tshs kwa 1gb kwa sasa ni 800mb. JE VODA WAMEAMUA KUTUKOMOA WATUMIAJI ILI KUFIDIA GHARAMA ZA MALIPO WALIYOLAZIMISWA KULIPA ili kumaliza kesi?
 
Hamieni huku kwetu Halotel,huko Vodacom Ni kubaya hamieni kwingine Kuna Airtel,Tigo ,zantel, TTCL au Halotel hao Vodacom Sasa hvi hawana maana yoyote ,watumiaji wakipungua huko Vodacom ndo akili itawakaa sawa,Sasa hvi wataendelea kuwabruza tu wapendavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Zantel nimeshaachana nayo. Bundle lisilo na kikomo (1000=1gb) eti linakuwa la siku 3. Natumia halotel, nitajiunga na airtel pia nione.

Voda nilishaitupa line kitambo.
 
Nilihamia zantel kwa kuwa walikuwa wazuri na huduma zao za Bao offer GB1 bila kikomo ila nao wameshaweka kikomo ndani ya siku 3 tu kushiney. Na bando linakwenda kasi hakuna mfano!
Nimeshawatupa huko. Walinichefua. Nimetumia miezi miwili line yao.
 
Back
Top Bottom