Gharama za Internet bundle zimepanda ghafla!!

Gharama za Internet bundle zimepanda ghafla!!

Mi nina line ya chuo. Huwa naweka bundle la 500=500mb kwa wiki. Huwa linakaa vema tu, labda matumizi yangu ni madogo
Itakuwa either hautumii instagram,youtube au aurun apps nyingi za online kwa most of the day...mb 500 mm siku 2 zinaisha kwa matumizi ya kawaida.
 
Itakuwa either hautumii instagram,youtube au aurun apps nyingi za online kwa most of the day...mb 500 mm siku 2 zinaisha kwa matumizi ya kawaida.
Niko jf na whatsap. Sina interest na apps zinginezo. Ila naweza tumia muda mwingi kuangalia movies kuliko kuchat
 
mambo nifire
1557893462886.jpeg
 
Halotel shilingi 10,000 unapata unlimited data mwezi mzima (sms, dakika 300's mitandao yote)
Mkuu hiyo unlimited data fafanua vizuri ni 24hrs au ile ya saa 00:00am - 06:00am?

Na vipi kuhusu speed ni kubwa kwa mwezi mzima au ukishatumia GB mbili speed inapunguzwa??
 
Mkuu hilo bando unatumia siku 30, na kasi ni ya juu. Nimeitumia sana, kuwatch video youtube, kuangalia mechi Azam App, Live tv (EPL), kupakua software
 
LINE YA HALOTEL *148*66# ROYAL BANDO, LICHA YA ZILE GB 2, UNAKUA NA UNLIMITED DATA HATA KAMA HIZO GB ZITAISHA

Samahan kwa anaejua anijuze mimi nina laini ya halotel ya kawaida je itakuwa na hiki kifurushi cha royal ambacho kina internet bila kikomo mwezi mzima hata gb nilizopewa zikiisha bado utaendelea kuenjoy internet hadi mwezi uishee???? .... hivi hivo vifurushi ndo hivo vya royal bando naje nilzima iwe ya royal au hata ya kawaida ila ukaniunga vile vya royal navo vina ddk 420, 300 halotel na 120 mitandao yote hivi navyo vipo hata kwel laini za kawaida swali langu je navyo internet ya unlimited kwa mwez mzima hata kama zile gb ulizipoewa zikiisha??? Maana naogpa kununua nikijua internet haitafika mwez naomba unitoe wasi wasi jamn natamani kweli nijue ili nianze kuvinunua maana hawa voda siwaelewi kabisa lakini kama elf10 internet unlimited mwezi mzima iko poa una enjoy youtube, kama kawa.
 
Voda ni wezi tangu zamani ukilinganisha na mitandao mingine, speed ya kuisha kwa bando la mb za voda ni tofauti na mitandao mingine, binafsi huwa situmii mb za voda.

Mfano, unaweza kutumia MB 50 za Voda ku download document moja, lkn ukatumia MB 20 za Airtel ku download document ile ile.
Kuna kitu kinaitwa Downlink na Uplink kwenye mtandao wa internet ukivijua hivi ndio utajua ni kwanini iko hivo... Una download kitu cha 40MB lakini zinaenda 53MB.... Sometimes msilaumu ISPs wanaiba MBs....
 
Halotel wamekua wezi na majambazi kama Voda tu
Nilikua sh500 napata mb 350 kawaida na mb150 youtube kwa wiki, nilikua nauwezo wa kukaa na kifurushi kwa siku 5 au 4 nikiperuzi sana

Sasa hivi kuperuzi kwangu kulekule lakini simalizi siku mbili napata sms umebakiwa na mb5 dadeq

Yaani naogopa hata kuchungulia insta na browse kawaida lakini mb zinakata kama upepo
 
Back
Top Bottom