Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,433
- 191,755
Washenz tu nao, bundle la 1500 halimalizi siku 3 si upumbavu huoInafanyaje mkuu?
Washenz tu nao, bundle la 1500 halimalizi siku 3 si upumbavu huoInafanyaje mkuu?
Unazungumzia halotel ipi? Ile ya 1500 kwa mb800 ambazo hazikatizi hata siku 3 unaambiwa umebakiza mb5? Ama kuna halotel mpya?Mkuu kwa hapa bongo hakuna kama halotel..upo eneo gani la Tanzania?
Mkuu sijajua unatumia device gani,ila nakuhakikishia kwa hapa bongo halotel ndio wanaongoza kwa huduma nzuri za vifurushi vya internet,na internet yao ipo imara,sijawahi kujuta kutumia halotel,hasa nikilinganisha na huduma za mitandao mingine hapa nchini...hawana mpinzani.Unazungumzia halotel ipi? Ile ya 1500 kwa mb800 ambazo hazikatizi hata siku 3 unaambiwa umebakiza mb5? Ama kuna halotel mpya?
Mi nina line ya chuo. Huwa naweka bundle la 500=500mb kwa wiki. Huwa linakaa vema tu, labda matumizi yangu ni madogoWashenz tu nao, bundle la 1500 halimalizi siku 3 si upumbavu huo
Kwa matumizi ya kushinda jf litaishi. Ila ingia youtube hata dakika 5 tu! Insta dakika 5 tu kila siku uone kama hata siku 2 zitaisha.Mi nina line ya chuo. Huwa naweka bundle la 500=500mb kwa wiki. Huwa linakaa vema tu, labda matumizi yangu ni madogo
Ulitakiwa utumie Zantel akati offer yao ya bila kikomo bado iko. Ungekuja kutukana mitandao mingine yote.Mkuu sijajua unatumia device gani,ila nakuhakikishia kwa hapa bongo halotel ndio wanaongoza kwa huduma nzuri za vifurushi vya internet,na internet yao ipo imara,sijawahi kujuta kutumia halotel,hasa nikilinganisha na huduma za mitandao mingine hapa nchini...hawana mpinzani.
Pumbavu hawa, walikuwa wananipa GB1 kwa 1000, superuni sahv wananipa MB500,
Kifurushi gn?Sajili tgo 1500 gb2 kwa week
Nipe menu yake mkuuHamia tigo 2000 gb 1.2 na msg 5000 na muda kibao wa maongezi kwa wiki 1 au 1500 1gb siku 3 na muda kibao wa kuongea
Mbona kwangu hiyo alfu5 inaonesha ni gb3hata mimi nismestuka sana kuona huu ujinga.yaani 5000 kwa 800nb.hali yenyewe ya uchumi ndiyo hii.ngoja nianze kufanya survey ya mitandao mingine nisepe.bahati nzuri sina mkataba nao wa kudumu
voda kila kitu juu.hata vifurushi vya kupiga mitandao yote vipo juu.
Hata mm ningependa kukijuaKifurushi gn?
Mbona kwangu hiyo alfu5 inaonesha ni gb3
Nipe menu yake mkuu
Ni week mkuu,dk230 Voda to Voda na dk20 mitandao yote plus hizo gb3.....labda siyo bando ya wiki
Hii ni kwa baadhi ya laini tu mkuu siyo wote, kama Mimi kwangu ofa maalum naipata kwa menu *148*00# na hiyo 1500 kwangu Mimi in Mb500 kwa hiyo si wote wanapata hiyo offer*147*00#ok alafu unachagua namba 1 ofa maalum alafu unachagua namba 2 ni 1500 siku 3 na namba 3 ni 2000 wiki..
Ila hii sijui ni baadhi ya wateja au ni laini ya siku nyingi sielewi maana kuna wanaopewa na kuna ambao hii menu kwao haipo..
Jaribu kwanza niletee mrejesho mkubwa.
Naangalia movies on line japo sio muda wote, sina mambo ya instagram lkn huwa sizimi data.Kwa matumizi ya kushinda jf litaishi. Ila ingia youtube hata dakika 5 tu! Insta dakika 5 tu kila siku uone kama hata siku 2 zitaisha.
Ukijiunga la mb800 humalizi nalo siku 3! Yani its like huruhusiwi ku stream content. Wanakumenya balaa!
Hii ni kwa baadhi ya laini tu mkuu siyo wote, kama Mimi kwangu ofa maalum naipata kwa menu *148*00# na hiyo 1500 kwangu Mimi in Mb500 kwa hiyo si wote wanapata hiyo offer
Ndo maana nikasema ni kwa baadhi siyo kwa kila mtu.....Hiyo yako ni uni ofer bhana hata kwangu ipo ila laini ingine ya tigo hiyo hiyo ambayo kwenye hii lain ingine hii ofa ya 2000 gb 1.2 nayo haipo kabisa..