Huko halotel sindo 1.5 gb kwa buku 2?Hamieni huku kwetu Halotel,huko Vodacom Ni kubaya hamieni kwingine Kuna Airtel,Tigo ,zantel, TTCL au Halotel hao Vodacom Sasa hvi hawana maana yoyote ,watumiaji wakipungua huko Vodacom ndo akili itawakaa sawa,Sasa hvi wataendelea kuwabruza tu wapendavyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nanunua bado la 10gb kwa mwezi mzima laini ya tigo .Huko halotel sindo 1.5 gb kwa buku 2?
Mim sjaona pakukimbilia bado [emoji3]
Tigo kwangu kobe..hapa natakiwa nipate halotel au vodaMimi nanunua bado la 10gb kwa mwezi mzima laini ya tigo .
Karibu zantel mkuuJamani kwa wale mnaotumia VODA, mara ghafla week hii gharama za kununulia vifurushi vya internet bundle zimepanda. Ile bundle ya week ya 5000 Tshs kwa 1gb kwa sasa ni 800mb. JE VODA WAMEAMUA KUTUKOMOA WATUMIAJI ILI KUFIDIA GHARAMA ZA MALIPO WALIYOLAZIMISWA KULIPA ili kumaliza kesi?
Sio kweli labda lain yako tuNilihamia zantel kwa kuwa walikuwa wazuri na huduma zao za Bao offer GB1 bila kikomo ila nao wameshaweka kikomo ndani ya siku 3 tu kushiney. Na bando linakwenda kasi hakuna mfano!
Halotel nataka kuwahama wanakula bundle kama maji yanavyotoka bombani ...kwa kifupi wananikomeshaaaa nawaza nihamie ttcl labdaHamieni huku kwetu Halotel,huko Vodacom Ni kubaya hamieni kwingine Kuna Airtel,Tigo ,zantel, TTCL au Halotel hao Vodacom Sasa hvi hawana maana yoyote ,watumiaji wakipungua huko Vodacom ndo akili itawakaa sawa,Sasa hvi wataendelea kuwabruza tu wapendavyo
Sent using Jamii Forums mobile app
WhatsApp tupu hiiiiiiiiiiSajili tgo 1500 gb2 kwa week
Weeeeeee labda kwa wenye simu za 2g Hahahahahahaha sisi wa 4g ni kiamaaaa halotel sio watuMkuu sijajua unatumia device gani,ila nakuhakikishia kwa hapa bongo halotel ndio wanaongoza kwa huduma nzuri za vifurushi vya internet,na internet yao ipo imara,sijawahi kujuta kutumia halotel,hasa nikilinganisha na huduma za mitandao mingine hapa nchini...hawana mpinzani.
Mimi ninayo ya chuo 500 mb 400 mb 100 YouTube 300 za kawaida .....na zinaliwa vibaya ...wakikwambia umebakiwa na mb 5 uchukui sec 60 zimeishaMi nina line ya chuo. Huwa naweka bundle la 500=500mb kwa wiki. Huwa linakaa vema tu, labda matumizi yangu ni madogo
Tafuta mtandao mwingine huku halotel tuliopo tu nataka kukimbiaaisee nikajua peke angu. Nyie Vodacom Tanzania mbona mmepoteza maana halisi ya DAR SUPA UNI jamani.!! nawahama naenda halotel bakini na hao wataonunua 500mb kwa 1000TSH wakati wenzenu 1000TSH unapata GBs kwa siku tatu.
Aisee mnaotumia voda kazi kwenu sisi wengine hakatwi mtuJamani kwa wale mnaotumia VODA, mara ghafla week hii gharama za kununulia vifurushi vya internet bundle zimepanda. Ile bundle ya week ya 5000 Tshs kwa 1gb kwa sasa ni 800mb. JE VODA WAMEAMUA KUTUKOMOA WATUMIAJI ILI KUFIDIA GHARAMA ZA MALIPO WALIYOLAZIMISWA KULIPA ili kumaliza kesi?
Halotel 1.5 kwa 1500 na dk 30Huko halotel sindo 1.5 gb kwa buku 2?
Mim sjaona pakukimbilia bado [emoji3]