Gharama za Internet bundle zimepanda ghafla!!

Hivi zile gb 2 za royal bundle zikiisha naweza kustream video kwa quality ya 360p kweli??.
240p, tumia site ya simu ya youtube ipo 240p automatic,

Sema sijajua kifurushi cha royal cha 20k na 30k kama speed ikidrop inafanana na 10k. Ikiwa 20k na 30k ni kubwa bora utoe zaidi kupata speed nzuri.
 
Ya, ngoja niangalie cha 30000 naona kina nafuu.
 
Jitoe muhanga mkuu utupe feedback
Habari mkuu,nje ya mada..naomba nkuulize ..
Kuna pc nkiwahi muuzia mteja ilkua brand new around march hivi,ni mtu wa games sana ,ilkua ina specs nzuri,i7 ram 8gb,internal 1tb etc..
Ishu ni kua anasema juzi kati kila akicheza games hasa fifa ikiwa hajaconnect kwny umeme inakua kama ina laglag hivi,sio sana ila movement inaoungua speed kdgo,na aki connect kwny umeme inakua fresh.
Anasema tatzo kaanza kuliona a week baada ya ile april update,na pc ynywe inakaa na chaji km 4 hours ila haizngui kitu chochote zaidi ya hvyo.
Je mkuu,hapa tatizo lnaweza kua nini? Also anasema ni fifa,pes znazozingua but games km gta hazifanyi hvyo
 
Atakuwa ameset power mode kuwa battery saver.

Unaposet laptop au hata simu isile sana charge inapunguza nguvu ya kifaa husika na kusababisha app nzito nzito kutofanya kazi vizuri.

Aclick tu start then asearch power mode halafu achague balanced ama perfomance mode.
 
Poapoa mkuu..
Shukrani sana[emoji120]
 
2mesha sahau lain za voda kitambo xana 2nasikia 2 kwenye vyombo vya habar cjui wako lokap mala wako nje kwa dhamana cjui walipe 6b

mkuu karibu airtel huku 2na smatika DABO
 
Samahan hivi hivo vifurushi ndo hivo vya royal bando naje nilzima iwe ya royal au hata ya kawaida ila ukaniunga vile vya royal navo vina ddk 420, 300 halotel na 120 mitandao yote hivi navyo vipo hata kwel laini za kawaida swali langu je navyo internet ya unlimited kwa mwez mzima hata kama zile gb ulizipoewa zikiisha??? Maana naogpa kununua nikijua internet haitafika mwez naomba unitoe wasi wasi jamn natamani kweli nijue ili nianze kuvinunua maana hawa voda siwaelewi kabisa lakini kama elf10 internet unlimited mwezi mzima iko poa una enjoy youtube, kama kawa.

Vp asee ulitest ? Ilikuwaje?
 
Jitoe muhanga mkuu utupe feedback

Nimemaliza GB 9 za speed. Naweza ku-stream 240p na mara chache 360p naona speed haizidi 80kbps. Na hizi zina stream kwa shida sana yani buffer ndogo sana, kudownload naona haiwezekani kabisa. Naona hii inafaa kutembelea website tu.
 
Unaweza ipima speedtest?
 
Screenshot_20190605-124149_Speedtest.jpg
 
Back
Top Bottom