Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,956
- 7,209
Kule Mafia IPO ya $24,000 yaani na huwa IPO Kwa msimu, na IPO fully booked!Wakati bongo kuna hoteli kwa siku $20000
Hiyo 700$ mbona ya kawaida sana
Ova
Ukienda Seronera, Serengeti, Zenj, bei zinapanda kufuatana na season, unakuta ni $1,000 mpaka $,5,000 a night zipo! Zingine high season ikipita! Wanafunga hotel kabisa! Wanabakia walinzi na buibui!