Thabit Karim
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 364
- 645
Nahitaji kufunga solar system nyumbani kwangu. Nahitaji kuwasha Tv nchi 43, visimbuzi viwili, playstation 5 taa tano za watts 10. Pia kutumia rice cooker ya Watts 700 na blander ya watts 400.
Mwanzo nilipanga kununua watts 100 na inverter ya watts 500 na betri ya N75. Je ni sawa?
N.b
Hivi vitu sio kuwasha kwa pamoja na matumizi yangu hayazidi masaa 4 kwa siku tena km umeme wa Tanesco haupo. Narudi saa kumi tokea kazini. So tatumia km Tanesco wamekata
Ushauri wenu