Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
Last edited by a moderator:
Kweli nimemsahau dada yangu kipenzi ladyfurahia dah
Nisamehe eeh dada yangu!
Asante sana my cousin, msamehe bure Erickb52 maana alichanganyikiwa ati we acha tu!
Jamani paacha.... Asante sana! Miss u!
babe, mbona umekuwa mkali? Msamehe ni utoto tu akikua ataacha
Lady doctor pole sana kwa maumivu uliyopata, nimekuja chitchat nduki baada ya kupata taarifa kuwa uu mgonjwa. Bwana Arushaone mtunze Lady doctor vizure, asichakae.
Kama ni mtoto sitaki uzoeane na watoto. OK?
miss u 2,3,and 4!!
nimemuagiza loya akuletee
kijipercel cha naniliu ili upate nafuu haraka!!
tatizo ana mambo mengi nilimwambia kuwa nimsaidie japo
kuendesha duka lake pale Atown hataki anasema nitamfilisi
kwa kuchukua hela na kwenda kuupala nywele si anaona
nilivyokuwa na nywele kama singasinga
Pole sana Lady doctor,tunakuombea upone haraka uendelee na majukumu ya kulitumikia taifa!Get well soon
Alafu wewe Passion Lady mbona hujaniambia kama pacha wako anaumwa?Unataka nionekane sijali eheee!!