Get well soon Lady Doctor!

Get well soon Lady Doctor!


arudiane salama
mi nina spea tyre yangu
Eli79 beibe wea a yu!!!

Kumbe umeniweka spea taya yako... ila ivo ivo tutaenda, utanichuna mpaka uta fall kwangu... beibe twen'zetu Pariii wikiendi hii...
 
Last edited by a moderator:
huyo huyo aliyekula posa umuoe huyo kama ulimpa baba ruksa kumuoa kama ni huyu kaka yangu Erickb52 ruksa muoe yeye mimi nipo sabatical leave namjua huyu kaka yangu vizuri anataka kunifanya cummulative sourse of income watch out Chocs please wifi mkanye huyu mumeo
Kakufanya nini kwani?
 
mke wa kwanza na wamwisho arabela alikuwa ni zugia ujana!

Halafu dawa yako siitaki tena, ngastuka! Lol!

Ha ha ha, dawa huitaki? tena bora huitaki maana ungetumia usingeumwa tena hivyo usingepata nafasi ya kudeka kwa mmeo.
 
Ayaaa nimeshachelewa kutoa pole mpaka mgonjwa amepona,ndo basi tena!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom