Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
asante wii wangu naendelea vizuri sasa
Last edited by a moderator:
Only three words will be enough for now:
I LOVE YOU.
:busu
Zimefika bibie! karibu tena!
Pole sana; hope uko mzima sasa.
Mie sina hata pa kuwekea tena hiyo mimba
kila kitu kilichakuwa closed.
We mwenyewe ulipika vitumbua vyako visivyo na viwango ona yaliyokutokea
kama ulimpa Erickb52 possibility ya kufika ni ndogo sana kama hajaenda kuiuza basi kainywa mwenyewe
Asante wii wangu, nimekumiss sana jamani, Vin Diesel hajambo?
Mie mzima my dear....just enjoying with my Heaven on earth...
Ugua pole
Mimba za mwaka huu zimetia fora. Madame B mimba. Kongosho mimba na sasa Lady doctor mimba mmmmh ni noma.
Asante sana kaka, miss you sana!