Get well soon Lady Doctor!

Get well soon Lady Doctor!

kwenda huko, wakati vitumbua nilinunua kwako halafu baada ya kuvila tu nikatapika vilikuwa na nywelenywele za sirini... kakya nani mwanamke mshirikina wewe!!!!!!!

Ahahaa kupika upike wewe ,kula ule wewe,lawama nipate mimi just koma na usulubiweeeeee
 
usione aibu mama muuza vitumbua wateja hawato kukimbia ila tu ujirekebishe la sivyo biashara ya mapupu itakuhusu

Na nina mpango wa kukubadilishia biashara kumbikumbi watakuhusu mbona utaendesha mavolvo mpaka ukome
 
Lady Doctor...
Mungu yu pamoja na wale wamchao na kumuamini..
Nasi hatuchoki kuomba juu ya afya yako,kwani tuna imani ya kua Mungu wetu ni mwema sana,na atasikia Maombi yetu...
Get well soon our Lady Doctor...
 
Lady Doctor...
Mungu yu pamoja na wale wamchao na kumuamini..
Nasi hatuchoki kuomba juu ya afya yako,kwani tuna imani ya kua Mungu wetu ni mwema sana,na atasikia Maombi yetu...
Get well soon our Lady Doctor...

Asante sana rafiki na Mungu akubariki sana kwa maombi yako, Mungu wetu ni mwaminifu namuamini Mungu wangu yeye ndio kimbilio na msaada wangu katika maisha yangu ya kila siku naamini hato niangusha na kuniacha niteseke na maradhi yoyote na ndio maana kwa neema yake nimepona!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom