Get well soon Lady Doctor!

Get well soon Lady Doctor!

Ndugu wana chitchat, napenda kuwashukuru sana kwa maombi yenu kiukweli naendelea vyema sasa.

Pia napenda kumshukuru sana mume wangu mpenzi Arushaone kwa kuwa nami kipindi chote hiki akiniuguza, Mungu akubariki sana mume wangu, umejitoa sana kwa ajili yangu nathubutu kusema wewe ni mume mwema kwangu. NAKUPENDA!!!!!

bila kumsahau shemeji yangu kipenzi Erickb52, jamani ubarikiwe we mkaka, ulikuwa ukinifariji sana na kunitia moyo sana, UBARIKIWE SANA!

Sina mengi jamani zaidi ya kuwashukuru members wenzangu woote bila kuwasahau wale walio ni Pm na walio nicall pia, MUNGU AWABARIKI NYOOTE!

NAWAPENDA SANA
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor

get-well-soon-6561821.jpg

Asante sana C6
 
Last edited by a moderator:
yaani kaka hata mie mmenisahau kunipa taarifa kuwa cousin wangu anaumwa vibaya hivyo mlivyofanya
au kwasababu nikko mbali na upeo wa macho yenu?

ugua pole my cousin Lady doctor ninakuombea best wangu wa moyo

Asante sana my cousin, msamehe bure Erickb52 maana alichanganyikiwa ati we acha tu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom