Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Nilijua tu maana madr ndio zenu japo si wote. Lkn kunywa dawa mwaya sawa.
sawa dada angu!
Nilijua tu maana madr ndio zenu japo si wote. Lkn kunywa dawa mwaya sawa.
Mimba za mwaka huu zimetia fora. Madame B mimba. Kongosho mimba na sasa Lady doctor mimba mmmmh ni noma.
hata mimi hukunimention ila namuombea kwa Mwenyezi Mungu apone haraka
Asante sana bestito, mpe Hi Himidini
^^
Pole sana best Lady doctor pia am sorry nimepoteza mazoea ya kuchungulia huku cc tangu siku ilee nilipoaga jukwaa ndo maana sikujua unaumwa!
Usijali Best..tunakupenda na tunakuombea
^^
Asante sana my cousin, msamehe bure Erickb52 maana alichanganyikiwa ati we acha tu!
Kiwowowoo kimeponaaaaaaa
Hureeeeeeeeeee
Tumia lugha mujarab uongeapo na shemejio shnz type.
Vin Diesel hajambo.......umepitwa na mengi na kuumwa kwako ........Asante wii wangu, nimekumiss sana jamani, Vin Diesel hajambo?
Ndugu wana chitchat, napenda kuwashukuru sana kwa maombi yenu kiukweli naendelea vyema sasa.
Pia napenda kumshukuru sana mume wangu mpenzi Arushaone kwa kuwa nami kipindi chote hiki akiniuguza, Mungu akubariki sana mume wangu, umejitoa sana kwa ajili yangu nathubutu kusema wewe ni mume mwema kwangu. NAKUPENDA!!!!!
bila kumsahau shemeji yangu kipenzi Erickb52, jamani ubarikiwe we mkaka, ulikuwa ukinifariji sana na kunitia moyo sana, UBARIKIWE SANA!
Sina mengi jamani zaidi ya kuwashukuru members wenzangu woote bila kuwasahau wale walio ni Pm na walio nicall pia, MUNGU AWABARIKI NYOOTE!
NAWAPENDA SANA
asante sana swahiba!
Ila najua wewe na mwenzio Zahra White mlinichezea mazingaombwe....!
Kiwowowoo kimeponaaaaaaa
Hureeeeeeeeeee