Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
twende beibe!!Kumbe umeniweka spea taya yako... ila ivo ivo tutaenda, utanichuna mpaka uta fall kwangu... beibe twen'zetu Pariii wikiendi hii...
twende beibe!!Kumbe umeniweka spea taya yako... ila ivo ivo tutaenda, utanichuna mpaka uta fall kwangu... beibe twen'zetu Pariii wikiendi hii...
umeona????? Keshaibiwa tayari!
Upo poa kabisa mpenzi?Miss you deadly jamani dia wangu.
Hapana my dia siafiki swala hiloanataka aniozeshe kwa kizee kimoja na mahari keshabwia huyo kakaangu hana haya