Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Shemejiiii !
Pole sana, aidha nikuombee ahueni ya haraka !
Asante shemeji!
Shemejiiii !
Pole sana, aidha nikuombee ahueni ya haraka !
Lady doctor ugua pole.
Naona baridi ya ar imeshaanza kuleta maproblem;
................ why Erickb52 na siyo Arushaone?
Hata mimi nimejiuliza sana hilo swali.
Arushaone kuja huku uweke mambo sawa.
pole dada, mungu atakupa afya njema tena....
Pole sana Lady doctor
Lakini mmmmhhhh kisebusebu na kiroho embu nijuze Erickb52 umejuaje kabla mi sijajua kuwa mtarajiwa wangu anaumwa?
Pole sana dada mdogo usingeniita nisingejua haya manake niko busy na yaliyojili Kenya. Nakuombea upone haraka ili urudi mjengoni na nguvu mpya. Make sure unatumia dawa vizuri manake kuna watu ni drs lkn waoga kunywa dawa wao hupenda kuwaandikia wenzao midawa tu.asante sana my dada Fixed Point salam zangu kwa Ablessed
Pole sana dada mdogo usingeniita nisingejua haya manake niko busy na yaliyojili Kenya. Nakuombea upone haraka ili urudi mjengoni na nguvu mpya. Make sure unatumia dawa vizuri manake kuna watu ni drs lkn waoga kunywa dawa wao hupenda kuwaandikia wenzao midawa tu.
Swahiba u mgonjwa pole sana
Dadeki Arushaone hiyo food poison ilinikumba na mie kamanda.. W/end mie nilikuwa hoi yaani leo ndo ninaweza kusema niko fine.. Halafu hilo limekuwa tatizo maana so far ninafahamu kesi kama 8 zinazofanania hii.. Pole zake sana Lady doctor..
pole sana Lady doctor mungu atakusaidia utapata nafuu mpenzi na kurudi katika majukumu yako ya kila siku. ahsante pia Erickb52 kwa taarifa.
Nakuombea upone kwa haraka Lady doctor. Mungu akashushe uponyanji ili dawa unazotumia zikafanye kazi yake upate kupona.
Arushaone pole sana kwa kuuguza.
Pole sana shemeji. dah! ugua pole wangu...