Get Well Soon Kipipi

Ikiwa moja mnara haukamati au?!!
Unapeti peti sio ee....
Hahahahaaaa
Network ikikata line moja inakuwa rahisi kuhamia Airtel kuliko kuwa na line moja.
Usijali Chocs wewe ndio wangu hata Kipipi anajua kwa sasa wewe ndio mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa
Network ikikata line moja inakuwa rahisi kuhamia Airtel kuliko kuwa na line moja.
Usijali Chocs wewe ndio wangu hata Kipipi anajua kwa sasa wewe ndio mwenyewe
Mwanaume kwa kubembeleza wew..
Mpaka unipe naniliuuu...............!!
 
Kipipi.unamruhusu ODM aje mgonjeke wote? yeye dushelele lake limeteguka anasema linahitaji massage kwa mapendekezo ya madaktari bingwa. Asprin ujumbe umefika.naona. mwache mtumishi wako aende kwa amani
Hommie, kikombe alichonipa baba sitakinywa au mpaka pazia la hekalu lipasuke katikati ili yatimie?
 
Last edited by a moderator:
Babu Asprin subiri kwanza apone maana ukaguzi kwa sasa haufai.
Labda umkague Asnam yeye hajagauliwa na anasema bado mbiiiiichi kabisa

Orayt.... Asnam kam zis wei fasta kabla jua halijazama. Ni mimi tu nimebakia, ni mimi tu kukukagua.
 
Last edited by a moderator:
Naskia Kaizer ndiye alipewa mchongo wa kumsafisha huyu binti tumbo baada ya babu Asprin kutoweka
mheshimiwa mtakatifu wakati unaniitia amu aje akikande hiki kiuno changu alichonitengua kwa sababu ya ubishi wake wa kukaguliwa waeza nipa mwongozo wa huyu mtu Chocs kabla jua halijakuchwa?
 
Last edited by a moderator:
Yaani Asprin mie tena mwanipangia miongozo?
Ya nini?:shock:
 
Last edited by a moderator:
Kaguaaaaaaa
Mi nauguza
hivi platozoom yu wapi

Weraweraaaaaa..... Yule dogo platozoom ubishi wake ulimponza alienda kukagua visivyokagulika matokeo yake kaibuka na kansa ya mdomo. Toto bishi sana lile. Linakula bila kunawa wakati vijiko vipo.
 
Last edited by a moderator:
Yaani Asprin mie tena mwanipangia miongozo?
Ya nini?:shock:

Acha maneno mingi hebu twende PM tukapange tarehe. Mi viswahili vishanshindaga ujuage.
 
Last edited by a moderator:
Weraweraaaaaa..... Yule dogo platozoom ubishi wake ulimponza alienda kukagua visivyokagulika matokeo yake kaibuka na kansa ya mdomo. Toto bishi sana lile. Linakula bila kunawa wakati vijiko vipo.
Hahahaaa
Mara ya mwisho alikuwa na Madame B km sikosei
Mwache apumzike kwa amani
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…